Au tujenge daraja lingine across lake Tanganyika kabla la lile la Zanzibar?Itakua poa sana,pale ni bonge la shortcut to congo,maana ni safari kama ya masaa 3 tu
Au tujenge daraja lingine across lake Tanganyika kabla la lile la Zanzibar?Itakua poa sana,pale ni bonge la shortcut to congo,maana ni safari kama ya masaa 3 tu
Ziwa Tanganyika halifai hata kidogo kwa daraja wastan wa kina ni 572 m huku kina kirefu ikiwa ni mpaka 1472m , Victoria kina kirefu ni 82 m .Au tujenge daraja lingine across lake Tanganyika kabla la lile la Zanzibar?
Magufuli daima asingeweza kutibiwa hata mafua huko Kenya, tundu lissu ilikuwa lazima aje Kenya kutokana na mazingira ya tukio lake na ukaribu wa naipori kutoka dar, na hata baada ya kuletwa huko ikabidi aondoshwe cz mlikuwa mmemukea mitungi ya gesi tu pasipo tiba, ndio mana akaondoshwa. Hamna kitu mnaweza nyie vilaza.Stories about JPM being treated in a neighboring country was all over the internet so wacha ubishi. It wasn't Kenyans who spoke about it as you purport. Actually, it's Tundu Lissu who spoke about it first openly.
Lissu might even go to Jupiter for checkups kijana wa Tandale. But the truth remains that he was treated at Nairobi Hospital View attachment 3379058
View: https://x.com/TheCitizenTz/status/1936101440617169266
MY TAKE
Ukichunguza vizuri hukosi Wakundustani kama madalali au wanunuzi wa copper!
Tanesco nao ni wapumbavu na watu wao wanahusika! Huwezi kuniambia wameshindwa kuweka camera kulinda miundombinu yao!Hii biashara ya vyuma chakuvu inatia hasara sana
Ita cost nchi pesa nyingi sana, lile ziwa lina kina kirefu haswaa.Au tujenge daraja lingine across lake Tanganyika kabla la lile la Zanzibar?
Kwanza tanesco wazinguaji , kuna haja gani ya kulazimisha kama Nina kiwanda changu nikinunua transformer yangu baada ya miaka 3 lazima iwe yao hapo ndo wanaanza kujiungnishia wakati transformer ni yangu. Kwanini wasiweke Sheria tu mfano mtu kama anauwezo kununua transformer na kumhudumia basi aruhusiwe kununua na kuifunga kazi yao ije kuwa kuunganisha umeme tu na kuwepo na gharama ya ukaguzi tu . Leo hii unaenda kuomba kuunganishiwa umeme wa kiwanda unaambiwa transformer zimeisha mpaka sijui zitoke wapi ushenzi matupu.Tanesco nao ni wapumbavu na watu wao wanahusika! huwezi kuniambia wameshindwa kuweka camera kulinda miundombinu yao!
Rift valley inapita pale na kuna kipindi ukiwa kigoma Huwa kuna mtetemo ipo siku kitanuka tu pale , sasa kinuke mko katikati ya ziwa 🤣🤣🤣🤣🤣Ita cost nchi pesa nyingi sana, lile ziwa lina kina kirefu haswaa.
Japokuwa tuna uwezo wa kujenga.
Zanzibar hakuna manufaa kwa daraja kama Kongo. Daraja la Kongo lingelipa kuliko hata zanzibar, lakini ni ngumu pale kwa darajaAu tujenge daraja lingine across lake Tanganyika kabla la lile la Zanzibar?
Mzee tayari kuna mchina anajenga Meli tatu pale.Bandari ya kalemie ilikuwa haifanyi kazi ,sasa hivi ndo bado wako kwenye maboresho pamoja na reli hata hivyo kuna ujenzi wa vessels za zaid ya tan 5000 ulishapangwa ila wanavutia wawekezaji binafsi mpaka kufikia 2028 tutakuwa tayari tushapata vessels
Duuh hii habari sina mkuu ,Zina uwezo gani ( tonnage ) ?Mzee tayari kuna mchina anajenga Meli tatu pale.
Ukunduni kila mtu ni mpumbavu hivi?
View: https://www.instagram.com/reel/DLICs3XOePY/?igsh=dmR1enp4aGFtMDNj
Kila moja inabeba tani 1500Duuh hii habari sina mkuu ,Zina uwezo gani ( tonnage ) ?
Bado ni ndogo sanaKila moja inabeba tani 1500
Huyo aliuliza swali hapo down ni Benjamin mwenye kampuni yenye thamani ya 100 billion Tz money, mmiliki wa NALA money. Sidhani kama anaweza kufanya hizo stories unazotuelezea.Wavumbistan yani huwa mna shida. Mtu amezuru nchi jirani alafu ashinde akiulizauliza viswali vya kuleta ugomvi akirekodi akipost.........hapo utapata aliwauliza Wakenya kama kumi wote wakajibu sahihi ila yule mmoja aliyejibu vingine ndio anapostiwa. Alafu kwa comment unapata watu wasema Kenya ina chuki, sasa hapo kuna chuki gani? 🤣 🤣 Your issues with Kenya are always self made.🤣🤣