President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,010
- 93,372
Anasemaga mimi ni Bertin. Bertin Mwenyew hana time na kenya, leo kapost yuko Zimbabwe huko.
Ukiona mtu anakuchukia bila sababu ujue deep down anakuadmire. He admires a lot Bertin
Kuna kamtaa ka Moi Avenue hapo mbele ya archives Nairobi wameweka new pavements na street lights, basi watu wote, mayoutuber wanakaongelea mitandaoni. Mtaa wenyew hata mita 500 hazifiki. Lakin kelele sasa.
Sasa tukija Dar, tuseme BRT 3 km zaidi ya 20 na zina pedestrian walkways na pavements mpya. Hakuna hata mbongo mmoja anayepiga kelele.
Wengine wako wanaitaja Tz. Wanakelele nyingi lakin deep down wanaiappreciate Tz.
View: https://youtu.be/Ou4xsY_5K9I?si=V6pE0YheH07fWrFj
Wanajua Tanzania ipo juu sasa kwa saaa wanachokifanya ni social media bullying and harassment. Wanajua hawana future. Kenya is a dying horse