President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,008
- 93,352
Anatakiwa Makonda aende hapo akasukume watu.Huu uwanja umefikia wapi?
Anatakiwa Makonda aende hapo akasukume watu.Huu uwanja umefikia wapi?
Katika eneo kubwa sana la Dar ambalo halijawa exposed humu ni kuanzia Tabata mpaka Mbezi Luis via Goba, Mbezi Luis Mpaka Airport via Kinyerezi, kuna neighborhood Kunyaland wana dream tu lakini siku wakiona hayo maeneo watajua Dar sio level yao, explore with Bertin angefly drone huko hii battle ingefungwa ni replica ya Masaki kabisa mixer Mbweni
View: https://www.instagram.com/p/DKKq_hTMPED/?igsh=ZG80ZWhxYjhiZmVk
Our own. Tanzanians are blessed with Talents. Kili paul representing Tanzania in India. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DKRurfWp_2I/?igsh=OHRjanJ3MXV3cXN0. Kili paul ni bounge la star huko India. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DKJQN4ePirq/?igsh=cjg5cnlxeGljMWFx. Hili taifa sio la kawaida. Hao majirani zetu wapumbavu ni wapiga kelele tu. 🤣🤣🤣
Unaezasema ni star wa Bollywood. Kaka babayao255 Mmasai mwenzako huu. Nadhani mshkaji kwasasa Ndio mmasai maarufu zaidi duniani. Wachana na hao wamasai mbwa wa kunyarenda. 🤣🤣🤣 mchizi mapokezi yake in India. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DKINKPQzoLk/?igsh=MW04bzYxZDkwdTJ1Mw==.
Mara ya kwanza ulikuwa unajengwa kihuni kwa kusua sua kwa kutumia FORCE ACCOUNT.Huu uwanja umefikia wapi?
Here is another one I took on the same day Mbilikimo. Have fun with it. You're a toddler.Hii mbunda kumbe inamchukiaga Bertin kwasababu kumbe na yenyewe ni YouTubeer wa bei ya jioni. 🤣🤣🤣🤣 cheap traveler 👇🏾View attachment 3350992.. NairobiWalker. Kibera walker. 🤣🤣🤣 oyaa kaka The best 007. Njoo umuone mbaya wako.
Wow, ule uongo wao utaisha soon. This is mikocheni I know. 🔥🔥🔥.
Unakaa mzimu budaa.? How can someone be this tall and stupid and think they are normal.?. 🤣🤣🤣Here is another one I took on the same day Mbilikimo. Have fun with it. You're a toddler.
View attachment 3351201
Ilani za jirani ni kuwatafutia watu kazi za manamba nje ya nchi 🤣🤣🤣🤣
wao hawana hata huo mfumo wa kuangalia vitu kama hivyo. huku kwetu system nyingi zinasomana ndio maana wanakuja kujifunza mambo mengi ya kimfuma wa kijiditali.Kwahiyo gari ya nmb bank imekuwa gari ya Tanzania consulate.
Jamaa kaondoka kama utani tu, lakini sahii Ana jina kuubwa huko India. Anateleza tu na matangazo. Yuko na potential ya kuwa tajiri sana, kama ataitumia vizuri nafasi yake.Jamaa anakubalika India kinoma.
Hapo wataua mombasa port dah sio poa kabisaKutoka Tanga Mpaka Musoma - Wakenya tunaenda kuwapiga dochi
View attachment 3351103
View attachment 3351108