Mradi kama huu unataka Rais chizi kama Magufuli.
Maana budget yake sioni kama ni kidogo.
Huwa nashangaa Kenya wanapojiita Tech City.wao hawana hata huo mfumo wa kuangalia vitu kama hivyo. huku kwetu system nyingi zinasomana ndio maana wanakuja kujifunza mambo mengi ya kimfuma wa kijiditali.
Aliamua kuchagua aina ya content ngumu na ametoboa.Jamaa kaondoka kama utani tu, lakini sahii Ana jina kuubwa huko India. Anateleza tu na matangazo. Yuko na potential ya kuwa tajiri sana, kama ataitumia vizuri nafasi yake.
hamna kitu ni wajivuni maskini tuu haoHuwa nashangaa Kenya wanapojiita Tech City.
Ukiingia ndani huko mpiji magoe kuna mijengo ya adabu kule na mazingira amazing sana na wala sio nyumba mbili tatu ni thousands of decent homes ambazo Kunyaland ni nyumba za vibopa, maeneo yote haya yana miti mingi na mandhari nzuri sana, unashangaa wakundustan wanapata wapi guts za kulazimisha Dar iwe na slum wakati wakazi wengi wa Dar wanakaa maeneo kama hayaI’m telling you bro. Na hiyo ndio Dar iliyopo kichwani kwangu.
Kwasasa wana mfumo wao mmoja wa kitapelii, unaitwa eCitizen.hamna kitu ni wajivuni maskini tuu hao
Jibu swali bongolala, tuonyeshe ukitoka Tandale unaingia wapi mtaa wa maana ambayo sio uswaziHivyo vimitaa vidogo ambavyo havifii hata asilimia mbili ya slums zenu
Sio kilometer moja tena? Alafu kuna mwingine alisema ni kilometer mbili!!! Enyewe siku ya nyani kufa kila mti hutelezaKibera walker kimepiga picha 👇🏾 ni Half km from TPA tower 👇🏾View attachment 3350965
Majamaa wamejam ni kama nilienda Kampala nikapost yet nimepost hiyo hiyo Darislum yao. 🤣 🤣Sio kilometer moja tena? Alafu kuna mwingine alisema ni kilometer mbili!!! Enyewe siku ya nyani kufa kila mti huteleza
Mwanzo alisema ameomba picha,Sio kilometer moja tena? Alafu kuna mwingine alisema ni kilometer mbili!!! Enyewe siku ya nyani kufa kila mti huteleza
Hichi kibera walker. NairobiWalker kwenye video yake, 👇🏾.
View: https://youtu.be/mP719lUq-9s?si=kBdqvqSIbWrTRcr0. Kametembea barabara hizo hapo 👇🏾 and claiming eti he’s showcasing Dar CBD. 🤣🤣🤣View attachment 3351295mtu mmoja kwenye comment section akamiuliza. Is this what you are showing us Dar CBD.? 👇🏾View attachment 3351299🤣🤣🤣 huwa najiuliza sasa, kwanini wakenya wanaiogopa Dar sana.? Wanajaribu kui downgrade ili iweje sasa.? Kwamba watu wasijue uzuri na maendeleo yake au.? Na mbona ni ngumu sana kubadili vitu vinavyoonekana kwa macho.?
By the way, bwana kibera walker maeneo uliyotembea hasa mtaa wa lumumba na mnazi mmoja umeona yakiwa na michanga sana kwasababu all those roads are under construction 🚧. Hata kama uliamua kuwadanganya watu humu ndani (wakundurendas wenzako) kwa Dar ni chafu ina mchanga sana. 🤣🤣🤣 now they know a reason behind.
Anasemaga mimi ni Bertin. Bertin Mwenyew hana time na kenya, leo kapost yuko Zimbabwe huko.Hii mbunda kumbe inamchukiaga Bertin kwasababu kumbe na yenyewe ni YouTubeer wa bei ya jioni. 🤣🤣🤣🤣 cheap traveler 👇🏾View attachment 3350992.. NairobiWalker. Kibera walker. 🤣🤣🤣 oyaa kaka The best 007. Njoo umuone mbaya wako.
Ushamba mwingi, kwan ni lazima watu wakae mbali na business area.Busiest with residential houses.🤣🤣