Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

CCM ni ya TZ wanaoumia wakenya.
Hawa jamaa wanatuchukia si sababu ya CCM, ni wivu Tu kwa sababu tunafuraha. Yani amani yetu na furaha yetu inawauma mno, wakitiona, hatuna shida na mtu, hatulalamiki sana, sio kwamba hatuna shida, ila watu wanapambana kutatua shida bila ya kupigana, kutukanana yani inawauma balaa.

Wana wivu sana na sisi, na huo wivu ndo unaleta chuki, yani why Tanzania and not Kenya.
 
Airbnb Kariakoo?🤣🤣
Dar es salaam jameni 😂😂
USHAMBA unakusumbua.

Mimi mwenyew nikipata floor nzima ya sehemu kariakoo naifanya Airbnb. That business pays a lot. Because people from Zambia, Kenya, Burundi, congo wanakuja Daily kununua vitu at wholesale in Kariakoo. Wanahitaji mahali safi na safe pa kulala just near the business area.
 
Hii kitu inawauma sana wakenya.

1748680682437.png
 
USHAMBA unakusumbua.

Mimi mwenyew nikipata floor nzima ya sehemu kariakoo naifanya Airbnb. That business pays a lot. Because people from Zambia, Kenya, Burundi, congo wanakuja Daily kununua vitu at wholesale in Kariakoo. Wanahitaji mahali safi na safe pa kulala just near the business area.
My point is, it's too noisy for an Airbnb. I wouldn't choose such a place to stay in
 
Kariakoo kuna hotels, residential apartments na airbnb kwa ajili ya wafanya biashara hawataki kulaa mbali na business centre ya kko akimaliza kufunga mzigo anasepa sasa cha ajabu nini hapo?
Call that one a lodging, not Airbnb. Umesikia bongolala?
 
Sasa unataka kusema nini hapa? Sijaelewa point yako. Unadhani hatutajenga?
Ukipost hivyo Ndio kwamba hii hatutajenga au.? 🤣🤣🤣👇🏾View attachment 3351684
Suddenly hawa ni wale wa “asante kwa render” heri render juu ni artistic impression based on real world application and takes account of the scale, materials,structure etc and can be translated to an actual building ,sasa hii sio render ni AI generated image, based on a text prompt😅😅
 
Sasa tunaongelea Manifesto ya Uchaguzi 2025. Unataka Kwenye Manifesto waje na Majengo? Poor Kenyan
 
CCM ni ya TZ wanaoumia wakenya.
I know you have a realistic application problem but, let ke give you a chance to think for a minute…do you really think tunaumia? Like what does that even mean? Unamaanisha nini by kuumia? If someone has a contrary opinion to yours, why do you think anaunia! Just take a deep breath and think.. you can do it.
 
Back
Top Bottom