Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tunajenga Studio ya Kisasa ya Filamu

1748616052134.png
 
Kibera is the biggest bongolala and measures only 2.5 square kilometers. Sasa linganisha na uswazi zenu zilizotapakaa kila mahali.

When you step out of Kibera, you enter decent residential areas unlike Dar ambapo uswazi ni kila eneo.

Look at Lang'ata below which neighbors Kibera slumView attachment 3349041View attachment 3349116View attachment 3349117View attachment 3349118View attachment 3349119View attachment 3349121View attachment 3349123View attachment 3349124View attachment 3349125

Now show us areas neighboring Mazense slum tuone
Hivyo vimitaa vidogo ambavyo havifii hata asilimia mbili ya slums zenu
 
Kwenye detailes Ilani ukurasa wa 29 BRT:
Wakazi wa Tabata BRT imewajia

Kuendelea na ujenzi wa miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) Awamu ya IV - VI katika barabara za Ali Hassan Mwinyi – Morocco - Mwenge - Tegeta na Mandela kuanzia makutano ya Ubungo na Bandari, makutano ya Mandela/ Tabata – Tabata Segerea na Tabata – Kigogo;
 
You can keep your altitude, we’ll keep our tides. Agree to Disagree!
 

Attachments

  • 6AD5957D-DE0C-498B-B859-7408A53B9D87.jpeg
    6AD5957D-DE0C-498B-B859-7408A53B9D87.jpeg
    552.5 KB · Views: 9
Katika eneo kubwa sana la Dar ambalo halijawa exposed humu ni kuanzia Tegeta mpaka Mbezi Luis via Goba, Mbezi Luis Mpaka Airport via Kinyerezi, kuna neighborhood Kunyaland wana dream tu lakini siku wakiona hayo maeneo watajua Dar sio level yao, explore with Bertin angefly drone huko hii battle ingefungwa ni replica ya Masaki kabisa mixer Mbweni


View: https://www.instagram.com/p/DKKq_hTMPED/?igsh=ZG80ZWhxYjhiZmVk
 
Back
Top Bottom