NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,011
- 19,186
CBD ya Dar ni Kama Eastleigh Iko na buildings mzee. Chini ni wauza Dera na kahawa, juu ni nyumba za kuishi, Barabara ni tuktuk na mikokoteni.Hii ni CBD ama residential area? Yani Tanzania hakuna mji huna perfect CBDs Kama za Kenya?😂😂