Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

The way I see it, most normal Tanzanians know they were in the wrong in this Martha Karua matter, it's only on this thread that vinyangarikas are having a false sense of patriotism. Someni hizi comment hapa.

Screenshot_20250528-151013.jpg
Screenshot_20250528-150547.jpg
Screenshot_20250528-150636.jpg
Screenshot_20250528-150653.jpg
Screenshot_20250528-150740.jpg
Screenshot_20250528-150757.jpg
Screenshot_20250528-150626.jpg
 
Attachments

  • Screenshot_20250528-150813.jpg
    Screenshot_20250528-150813.jpg
    124 KB · Views: 6
  • Screenshot_20250528-150547.jpg
    Screenshot_20250528-150547.jpg
    131.3 KB · Views: 9
The way I see it, most normal Tanzanians know they were in the wrong in this Martha Karua matter, it's only on this thread that vinyangarikas are having a false sense of patriotism. Someni hizi comment hapa.

View attachment 3348699View attachment 3348700View attachment 3348701View attachment 3348702View attachment 3348703View attachment 3348704View attachment 3348707

Sasa na mbona bwana wantam ameomba msamaha hadharani kwa niaba ya kenge zote za huko slums!?

Hebu tupe kidogo dondoo...kitu gani kimefanya akaufyataa
 
Apparently hawadiscuss Kenya yet mbunge wao anataka Jwtz iingilie kati
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
View: https://x.com/Rydx_017/status/1926941859575660668?t=GiuWK169HDuA4NZiQZdsyg&s=19

Hivi unaelewa kiswahili!?
Kama msingetuanza je tungewazungumzia?
Embu nijibu,kati ya Kenya na Tanzania nani kamuanza mwenzake!??
Ndio maana nikamwambia mpuuzi mwenzako kule juu,uliwahi kuona mwaka wowote mwanaharakati wa Tanzania akijihusisha na siasa za Kenya?Jibu hapana hakuna.
Ila Kenya mnajihusisha na siasa zetu.
Mmewahi kuona Tanzania raia wakijumuika mtaani wakiibeza Kenya?
Jibu hapana ila Kenya mnafanya hivyo.
Mlituanza ndio maana tukawajibu.
Wacheni usenge.
 
Underline the word โ€œifโ€ in that sentence. Kingereza kimekupita mbali sana๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ.

That โ€œifโ€ signifies pride, meaning the apology is not genuine. Yani we are so proud to an extent that we donโ€™t see that tumewakosea.
Ndio nimewaambia hiyo sii apology. Hiyo ni kukwaambia mna utoto lakini wacha niwape hii pole ya uongo ili muache kulialia.๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Tanzania haijawahi fungia uqnzishwaji wa benki mpya na hapo ndo benki zenu zilipata fursa ya kuja Tanzania wakati za Tanzania zisingeweza kuja Kenya.
Hizo miaka zingine kabla ya kufungwa mbona hamkufungua? Leo hii after kufunguliwa mbona hamfungui? Nigeria ina Bank Kenya nyinyi mnasema zimefungwa? Wacha excuses.
 
Kenya imekufa yet tunawatawala hadi kenge polisi wenu kule X!!
Ndio tuseme ninyi ni sawa na Wanawake kazi yenu michambo.
Vitendo hamuna.
Tumewafirimba activist wenu nini mmefanya??
Kipindi cha Magufuli tumechoma vifaranga vyenu na kubeba ng'ombe wenu nini mmefanya!?
Kumtawala mtu mtandaoni Kuna impact ipi!?
Mbona kama huna akili?
 
The way I see it, most normal Tanzanians know they were in the wrong in this Martha Karua matter, it's only on this thread that vinyangarikas are having a false sense of patriotism. Someni hizi comment hapa.

View attachment 3348699View attachment 3348700View attachment 3348701View attachment 3348702View attachment 3348703View attachment 3348704View attachment 3348707
Hawa wa humu ndani ni wale bottom of the barrel, ukiskia bongolala ndio hawa kabisa, huwezi pata mtanzania mjinga zaidi ya hawa ..
 
Wanasema tunawadiscuss kumbe wao ndio wanatudiscuss Hadi bungeni Kenya ndio habari.

View: https://vm.tiktok.com/ZMSjhP3q8/

Nilikuuliza pale swali,nani aliyeanza kati ya Kenya na TZ?
Je msingetuanza tungewazungumzia??
Unaanza kunipa mashaka kuhusu uwezo wako wa kufikiri.
Yani wewe unianze Kunidisi nikikulipiza kukudisi uanze kusema nakuzungumzia sana.
Je kama usingenidisi ningekudisi??
Kenge kabisa!
 
Sheria ya serikali ilikuwa inawazuia recently wameruhusiwa ndio wane expand Burundi, RDC, Sudan
So tena sio ban Ya Kenya on new banks?๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜‚

Kaeni chini muelewane ni uongo gani moja mnataka kutumia alafu mrudi hapa.
 
Sasa na mbona bwana wantam ameomba msamaha hadharani kwa niaba ya kenge zote za huko slums!?

Hebu tupe kidogo dondoo...kitu gani kimefanya akaufyataa
Ameomba msamaha wapi? Unaelewa kingereza kweli?
 
Nilikuuliza pale swali,nani aliyeanza kati ya Kenya na TZ?
Je msingetuanza tungewazungumzia??
Unaanza kunipa mashaka kuhusu uwezo wako wa kufikiri.
Yani wewe unianze Kunidisi nikikulipiza kukudisi uanze kusema nakuzungumzia sana.
Je kama usingenidisi ningekudisi??
Kenge kabisa!
Nadhani nilishaakujibu hili swali. Kama hukutosheka jitie kidole.
 
Back
Top Bottom