Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ruto ni mjanja sana. He has killed two birds with one stone, saying a public arrogant apology to impress both Tanzanians and Kenyans at the same time😂😂🤣.

Mtanzania kwa akili yake anadhani ameombwa msamaha na Ruto lakini kwa akili ya wakenya Ruto just applied a phrase of “Say Yes to Please a Fool”
Kipindi kile ni citizen TV ilimuomba Magufuli week nzima, leo ni president himself aisee hii Tanzania naanza kuiogopa 😂😂😂
 
Nenda uangalie the meaning of “if” in an apology alafu urudi. Utagundua hakuna apology hata moja hapo Ruto amefanya, what Kasongo does was just to add oil to an already burning firewood. Wewe hujui ukora wa Ruto😂😂🤣
Wewe ondoa kelele hapa, Ruto katubu acha tuamue wenyewe kumsamehe au otherwise. Na hii sio yeye kaamua from nowhere ni whole Kunyaland government consent decree mmeamua amuombe msamaha
 
It doesn't matter, the fact it's your highest authority has bowed to us, how he bowed doesn't shift the fact
Kuwa Primary School Dropout is a very heavy burden. Hakuna apology Ruto made hata kidogo, he just massaged your egos hili mfurahie.

1748438199381.png
 
Kipindi kile ni citizen TV ilimuomba Magufuli week nzima, leo ni president himself aisee hii Tanzania naanza kuiogopa 😂😂😂
Ungeendelea na masomo past Primary School ungeelewa what Ruto did😂😂🤣👇👇

1748438257339.png
 
Hata hiyo Burundi unaweza pata hawapo. Kumbuka wamezingirwa na 8 stable countries lakini banki zao hazijaingia hata moja alafu wanasema Kenya hawajaingia kisa protectionism. 🤣 🤣
Rwanda , Burundi na Uganda kote huko Kuna investment za Tanzania kama Azam,metl, jamboa and the like ila Kenya kupata kibali ilikuwa inachukua mpaka miaka mitatu mpaka uhuru alipoingia .
 
Rwanda , Burundi na Uganda kote huko Kuna investment za Tanzania kama Azam,metl, jamboa and the like ila Kenya kupata kibali ilikuwa inachukua mpaka miaka mitatu mpaka uhuru alipoingia .
Tunaongelea Bank bwana. Wacha mambo ya Azam. Kwani Azam ndio investment pekee hapo kwenu? Na si kila siku mnatuambia humu Azam imetawala Kenya sector ya sports journalism na satelite dishes..tena hiyo azam ndio unasema imepingwa kuingia Kenya? 🤣
 
Awe ameomba kwa dharau au kwa heshima ila neno tunaomba samahani ni kuomba usamehewe kwa makosa 🤣🤣🤣🤣
Angekaa kimya
Hakuna apology Ruto ameomba hapo, najua wewe what your brain can process is only msamaha lakini the word “if” imekupita mbali sana😂😂.
 
Wewe ondoa kelele hapa, Ruto katubu acha tuamue wenyewe kumsamehe au otherwise. Na hii sio yeye kaamua from nowhere ni whole Kunyaland government consent decree mmeamua amuombe msamaha
Sawa Primary School dropout😂😂😂

1748438627234.png
 
Back
Top Bottom