Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hii kaka utahitaji investment kubwa sana, tofauti na kuvuta kuja Tanga.
Pili mara itatulazimu kupitia Serengeti bado tunapenda kuharibu mazingira ya wanyama.
Hata kuangalia Kuna mzigo mkubwa central kuliko hiyo ya arusha
Route za Arusha, Mara zinahitaji zaidi Light trains. Kwasababu hakuna mizigo.
 
Kuna tunnel na overpass options pia! Uganda hatatumia hiyo reli kama itapita all the way to Morogoro!
Overpass na underpass ni gharama sana mkuu.
MAkutano yanaweza kuwa hata dodoma. Hii yote ni ili kuistimulate bandari ya Tanga maana wateja wetu wengi wa bandari wako nchi kama Zambia,Malawi,congo. Kujenga reli kwa ajili ya Uganda tu na wakati hatuna mzigo wa uhakika yatatokea kama Yale ya sgr Kenya.
 
Maoni ya mtu mmoja ndo conclusion🤣🤣🤣🤣. The fact jamaa hajui hata umuhimu wa kuwa currency ndogo in comparison to higher currency .
Umeona kabisa akisifia kuwa 1mil unaweza nunua vitu vingi tZ hence higher exports, higher income and in the long-run higher demand for tZ currency
As of now, we are talking about how South Africans view Tanzanians. Hizo zingine pelekea nyanyako.
 
Compare and contrast
57257024_1181815095308896_2793282498358935552_n.jpg
499612555_1137766418369034_945136406888591102_n.jpg
images-12.jpg
images-13.jpg
 
Ilikuwa unapanda ila haikuwa kuwazidi na bado effects zilionekana sokoni kwasababu hata majority ya wageni kama wazambia, Kenyan walianza kuona vitu vinakuwa expensive ,🤣🤣🤣🤣
Rudia ulichoandika uone vile hakimake sense alafu udelete.
 
Vitu ziko wapi? Ama mnaanua viti wakati hakuna game? 🤣 🤣
Halafu hapo si bado ni Dar? Nimesema unionyeshe stadium outside Dar and Zanzibar yenye ina viti. Yani hadi unaonyesha ya Dar na bado haina viti?🤣 🤣
Viti si vile pale au unajitoa akili??

UWANJA WA GOMBANI PEMBA.
images-16.jpg
 
Route za Arusha, Mara zinahitaji zaidi Light trains. Kwasababu hakuna mizigo.
Sasa kwanini tujenge light trains kwa gharama kubwa badala ya kufanya connection tu hapo Tanga kwenye njia kubwa halafu huko mwingine tuwaachie wa malori. Kwa sasa mahitaji ya reli yaelekezwe sehem zenye mizigo kama songea - mtwara
 
Vitu ziko wapi? Ama mnaanua viti wakati hakuna game? 🤣 🤣
Halafu hapo si bado ni Dar? Nimesema unionyeshe stadium outside Dar and Zanzibar yenye ina viti. Yani hadi unaonyesha ya Dar na bado haina viti?🤣 🤣
Uwanja wa Manyara
Viti ziko wapi? Ama hizo rangi za bendera ndio viti? 🤣 🤣
Fountain gate stadium Manyara
images-17.jpg
 
Liberate Tanzania on X hahah,
How do you intend to do that mate maana once you try cross the boarder then we disembowel you. Did they clown boniface tell you the whole story? There are things he won't say in public.
Stick to your third world kenya. Liberate kunya from banditry, poverty, hunger, starvation, Cholera, jiggers, slums and tribalism.
Hatuhitaji viumbe visivyo na malezi toka nchi chafu ya ulimwengu wa tatu kuja kuleta uchafu huku Tanzania
You talk big but no actions
Mama akipita kazi ni kumwinamia tu na kumwimbia.. wake up

View: https://www.instagram.com/reel/DKBx27qt-Pa/?igsh=NzluaXR3dTZzdms1
 
Back
Top Bottom