muhogo_kiks
JF-Expert Member
- Dec 4, 2018
- 1,759
- 4,852
It's not!! This clearly shows that you know nothing about democracy!!Isn't it supposed to be encrypted?
It's not!! This clearly shows that you know nothing about democracy!!Isn't it supposed to be encrypted?
Abroad yao ikiwa hostility wanaanza kutoa milio sasa 😂😂😂
View: https://x.com/Vickyjr/status/1927296667981639915?t=aHQVxS_nbD2yS3x0NXMh7A&s=19
Abroad yao ikiwa hostility wanaanza kutoa milio sasa 😂😂😂
View: https://x.com/Vickyjr/status/1927296667981639915?t=aHQVxS_nbD2yS3x0NXMh7A&s=19
Halina ubishi, it's too obvious 🤣Mombasa kiboko ya dar slum 😍View attachment 3347739
Nyie wakenya kweli ni vichaa na hamna haya hata robo, sasa mambo aliyofanyiwa mkenya mwenzenu mnayaona ya kawaida? Au kwasababu asilimia kubwa ya wanaume wa Kenya mmezoea kufanyiwa unyama kama wa Boniface mwangwi? Upinzani Tanzania unalalamika kwann mwangwi na na huyo mganda wamefanyiwa vitendo vya udhalilishaji, cha ajabu serikali yenu imekaa kmy as if hakuna kilichotokea, hata kama uoga lkn serikali yenu imezidi aisee, yn inaiogopa serikali ya Tz mpk aibu. Ukweli ni kwamba kitendo cha ulawiti aliofanyiwa mkenya mwenzenu kimegusa upinzani huku Tanzania na hautakaa kmy mana ndiyo point ya kuipiga CCM, hata kama serikali yenu itakaa kmya kwa uoga but upinzani huku kwetu hautakaa kmy cz kwao ni mtaji wa kisiasa.Sijasema hatujadili, inajadiliwa ila mmekuwa mkiimba humu eti tunamjadili wakati nyie mnatijadili zaidi. The point is ka.a imefika bungeni hapo kwenu inamaanisha kwa gumzo la kawaida si basi imechacha?
Unaongelea mwanaharakati hapo kwenu Kuna wanaharakati?
Hawa wanusa gundi ni kelele tu wamejaliwa lkn hamna kitu.You are such a butthole.
Kwale and Siaya stadiums.
View attachment 3346566View attachment 3346567
GOMBANI STADIUM PEMBA.
View attachment 3346569
Leo ndio nimejua watanganyoko Wana roho za kujikunja, bungeni kumewaka moto wanatema nyongo kweli kweli, kisa na maana ni Boniface mwangi, sasa tukiwatuma kama gen z kumi si jeshi liitamwagwa 😂😂😂
View: https://x.com/mohammedhersi/status/1927259068353118224?t=VA6Hi6oOmRgXoYiN6iW8OA&s=19