Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

You have proved NairobiWalker right. There is no decent stadium outside Dar, hata hii takataka umeweka hapa iko Dar.
Leo naenda na Statistics only mpaka ujione Mjinga

1748266254563.png



 
Hijakufa ni matter of priority tuu. Rwanda alitaka apate yeye kwanza ili awe kingpin wa SGR traffic kwenye great lakes region lakini diplomasia kati ya Burundi na TZ ikaiweka Rwanda connection pending kwanza.
Rwanda na Burundi wana beef. Ndio maana kila mmoja anaunga kwenye SGR ya TZ kwa njia yake.

Issue ni FUNDING tu.

Funding ya Burundi wametoa AfDB.

images.jpeg
 
Leo nagonga Statistics tu

1748266805895.png


 
Hii imekaaje waungwana? Sijamsikia Martha Karua akipanua mdomo:

Mbunge atekwa nchini Kenya akiwa anashiriki ibada, apatikana hajitambui
 
Hii imekaaje waungwana? Sijamsikia Martha Karua akipanua mdomo:

Mbunge atekwa nchini Kenya akiwa anashiriki ibada, apatikana hajitambui
Utekaji na mauaji siyo mashindano
 
Back
Top Bottom