Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

mwanza iko mbali kwenye kila kitu kuanzia development, economy etc
Au siyo? Ukiiona Mwanza hapa kwenye top 5 unitag 😂😂👇👇

View: https://www.instagram.com/p/DHI7fgJoeJt/?igsh=dmVkMTFyN3V4aHJy
Screenshot_20250528-091940.jpg
Screenshot_20250528-091906.jpg
 

Aisee hapa nakuunga mkono ni mwendo wa facts Mwakifacts! Unajua kuna tendency ya wakuu kujisahaulisha kuhusu mahitaji ya zones nyingine!

Kwa mfano hamna zone inayoleta fedha za kigeni zaidi ya Northern zone na ni wakulima wazuri pia yaani mikoa ya Mara, Manyara, Arusha, Kilimanjaro na Tanga!

Kuna umuhimu sana nao wakaunganishwa na SGR na kufanya upanuzi wa Bandari ya Tanga wa tija! Pia Southern zone na Mtwara port!
 
Back
Top Bottom