concordile 101
JF-Expert Member
- Oct 13, 2013
- 6,314
- 14,357
Labda mizigo ya Uganda iwe ikitokea Moja kwa Moja imepelekwa mwanza then ndo taratibu nyingine zifuatweSio ngumu kama tutajenga Branch ya Mwanza to Bukoba au tukawa tuna meli za mizigo za container hata 4 ,maana mv mwanza haitoshi na sio container ship , iko mv umoja ila plan ilikuwa kuwa na dedicated container ships
Hizo container ships ziwe ziwa victoria na tanganyika hapo tutashika logistics