Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

As of now, we are talking about how South Africans view Tanzanians. Hizo zingine pelekea nyanyako.
Unadhani ukiweka chuki kama hivi ndiyo tutawachukia wa SA? Hao wanatuheshimu na ni lazima watuheshimu mana sisi ndiyo tumewapa Uhuru, alafu kwa taarifa yako tu sisi watanzania ni wa Southern of Africa na sio East Africa, mnatulazimisha kuwa EA wkt cc ni wa south.
 
1. Mnanuka ndio maana tunajaribu kuwafufua.
2. Hamna uwezo wa ku hack mtandao wa X. Hiyo ni streaming Aplication kwa kutumia Stream Key kutoka kwa msimamizi wa mitandao mzembe.
If it was streaming application then what was your useless police investigating after the event?
 
Unadhani ukiweka chuki kama hivi ndiyo tutawachukia wa SA? Hao wanatuheshimu na ni lazima watuheshimu mana sisi ndiyo tumewapa Uhuru, alafu kwa taarifa yako tu sisi watanzania ni wa Southern of Africa na sio East Africa, mnatulazimisha kuwa EA wkt cc ni wa south.
Huwa wanalazimisha sana Tanzania ichukiwe na SA.
Kwa sababu wao wamegombana na kila jirani.
 
😅 wakenya
1000048252.jpg
 
Back
Top Bottom