babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 12,904
- 34,903
πππππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DKHswJboeON/?igsh=NGdydXVvcmw3bGl6
Tumewajibu mara moja tu, mitandao imejaa vilio vyao. πππ
πππππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DKHswJboeON/?igsh=NGdydXVvcmw3bGl6
Hii sasa ni obsession ππ
View: https://x.com/ze_mandevu/status/1926958549592088584?t=oCEcaFOy4wZ5Wt2ey2KGKg&s=19
Apparently hawadiscuss Kenya yet mbunge wao anataka Jwtz iingilie kati
πππ
View: https://x.com/Rydx_017/status/1926941859575660668?t=GiuWK169HDuA4NZiQZdsyg&s=19
πππππππππ
View: https://www.instagram.com/p/DKHswJboeON/?igsh=NGdydXVvcmw3bGl6
Huyo nyangβau tumeshampapasa matako yake, kwani unajifanya hujui?Yani Mkenya mmoja which is Bonface Mwangi ameleta baridi Tanzania nzima?πππ€£π.
Tufanye mara ngapi? Vukeni tena mpaka muone ππMtabweka tu huko kwenu lakini kitu mtafanya.
Sijasema hatujadili, inajadiliwa ila mmekuwa mkiimba humu eti tunamjadili wakati nyie mnatijadili zaidi. The point is ka.a imefika bungeni hapo kwenu inamaanisha kwa gumzo la kawaida si basi imechacha?Kwahiyo kama haijadiliwi bungeni inamaana kuwa hamuijadili!?
Umewahi kuona Tanzania raia wamerundikana mitaani wakiijadili Kenya!?
Ila Kenya mnarundikana mtaani mkiijadili Tanzania.
Umewahi kuona kuna MTanzania yeyote the so called mwanaharakati akashoboka na Kenyan politics!?
Ila Kenya mmefanya hivyo.
Tumewajadili bungeni baada ya ninyi kuanza kushoboka na sisi.
Nadhani ule mgogoro wa Congo na ile coalition of willing inaendelea kumla PAKA
Hahahaha!! Kagame hanabudi kurudi kundini maana ni mtoto wetu. Kuna vituo vyake vya mafuta vingi sana hapa bongo.Rw wamejengewa dry port kubwa sana na DP world. Hiyo dry port wamefanya lobbying ili iwe hub to Burundi and Congo also some parts of UG... Sasa watu wakaona Bora wamfate Burundi na Congo direct.... Ni chenga ya mwili tu mtu alipigwa...amesusa kipande chake hapo isaka via keza..
Same to Uganda and kunyans.... Mr loot all alienda Hadi China na kusema kipande Cha malaba tayari.... M7 nae kichwa kichwa akaingia mkenge na kuanza ujenzi na Yapi from Kampala to Tororo near malaba...baada ya ku sign deal mkunya kachomoa hana hela ya kujazia ujenzi...hivyo kipande Cha UG pia kitakuwa white elephant...
Hapa E.A tunaishi kwa kuviziana sanaa.... Usipochanga karata vizuri wanakulambisha garasha halafu wanaenda kuchekea pembenii
Hahahaha!! Kagame hanabudi kurudi kundini maana ni mtoto wetu. Kuna vituo vyake vya mafuta vingi sana hapa bongo.
Aisee these people are jokers π€£π€£π€£You are such a butthole.
Kwale and Siaya stadiums.
View attachment 3346566View attachment 3346567
GOMBANI STADIUM PEMBA.
View attachment 3346569
You can't be like us even if you tried.I am so concerned because, I don't want TZ to be like you.