NairobiWalker
JF-Expert Member
- Oct 31, 2012
- 17,011
- 19,188
Nionyeshe wapi nimeita Zanzibar mkoa. Mnaenda kwa story nyingi kisa mmeshindwa kuniprove wrong. Kando ya Dar na Zanzibar hamna uwanja wenye viti vumbistan.Mwambie Tanzania Ina mikoa 31 hakuna mkoa unaoitwa Zanzibar ila Kuna mikoa mitano iliyopo Zanzibar kati ya 31
Mzee kama hujui kilichonyuma ya pazia bora ungekaa kimya uache vyombo vya usalama vifanye kazi. Amani tuliyonayo hii ni muhimu kuliko demokrasia.
Wakenya walilipwa pesa na Ubelgiji kwaajili ya kuvuruga uchaguzi wa Tanzania.
Test yao walianzia kwa Mwambukusi wakashinda. Next step ilikuwa kuharibu uchaguzi. Walikuwa wamepanga kuingiza watu toka kenya kuja kuvuruga uchaguzi.
Ile ya #Rutomustgo ili target yao ni Tanzania ili nao wafuate mkumbo. But ilibuma wakaja na plan B. Nayo tumeiona.
Next step itakuwa kufunga mpaka wa kenya na Tanzania kila mtu abaki kwenye nchi yake mpaka next year mwezi wa kwanza.
Kwa mujibu wa Tanzania unakosea.Nikisema Zanzibar nilimaanisha the whole Zanzibar autonomous region.
Wacha kuderail mjadala. Let me make it simpler for you. Nionyeshe uwanja wenye viti mainland Tanzania outside Dar.Kwa mujibu wa Tanzania unakosea.
Ingekua hivyo maendeleo yangefanyika kisiwa kimoja tu Cha Unguja.
Ok outside Mombasa and Nairobi metropolitan ebu tuletee viwanja vyenye vitiNionyeshe wapi nimeita Zanzibar mkoa. Mnaenda kwa story nyingi kisa mmeshindwa kuniprove wrong. Kando ya Dar na Zanzibar hamna uwanja wenye viti vumbistan.
SGR ya Tanzania inafika Mwanza.BAdo kutoka isaka kwenda Kampala kwa Uganda ni gharama walau achukulie keza unakuwa umempunguzia km 300 na bado Rwanda atachukulia hapo
Point yangu Iko kwa ajili ya kujifanya bandari ya Tanga iwe active, ni Bora tuunganishe Tanga port kwenye njia kuu walau watachukulia mzigo popoteSGR ya Tanzania inafika Mwanza.
Mwanza kuna bandari oavu ua Fela, inatarajiwa kujengwa.
Lakini oia kuna daraja la Magufuli.
Hivyo, Uganda wana option poa ya Meli (MV Mwanza) au Daraja la Magufuli via Mutukula.
Wewe choka mbaya. Wewe ni kiumbe gani?You actually believe that!😅😅
You guys clearly have a long way to go
embu pitieni hapa halafu tu argue kama watu wenye akiliSasa unataka nikuamini wewe watchman usiyejua chochote kwamba sio kweli Kenya iko na GDP kubwa kuliko nchi yako? Kwamba unajua zaidi kuliko economists wa WB na IMF?
Sio Kenya tu, hata Tanganyika yako unayokienzi iko na GDP kubwa kuliko North Korea. How about that bongolala? Do you believe it?View attachment 3345932
Unataka nisiamini takwimu nikuamini wewe watchman wa Tandale? Na ni ushahidi gani uko nayo if I may ask you? Talking of ushahidi, hebu tupe ushahidi kwamba wewe umetahiriwa. Kumbaff sana!!
Sasa wewe uaminiwe ukisema ulitahiriwa ukiwa mdogo ila wengine wakisema hivyo hauwaamini! Si unaona ulivyo msenge!!
Expanding economy with no fiscal space. maajabu ya dunia haya.Shows an expanding economy bongolala. High rental income in Nairobi plus a bigger middle-class able to spend money on high-end real estates. Even your own sisiemu government doesn't want to be left behind. It is building a new embassy offices in Upper Hill to tap on the huge potential lacking in your glorified fishing village Dar
![]()
Tanzanian Government Plans Multi-Billion Shilling Real Estate Investment in Upper Hill, Nairobi
The National Social Security Fund (NSSF) of Tanzania has unveiled an ambitious plan to construct a monumental 22-storey twin tower building in Nairobi, Kenya.www.mwakilishi.com
Kuna muda inabidi tulisemee ukweli taifaAchana naye huyo utapoteza muda wako tu
Nimeshakuweke uwanja wa GOMBANI Pemba.Wacha kuderail mjadala. Let me make it simpler for you. Nionyeshe uwanja wenye viti mainland Tanzania outside Dar.
🤣🤣🤣🤣🤣 Wanakimbiaga kuziweka Zanzibar kwenye mjadala wowote,Nimeshakuweke uwanja wa GOMBANI Pemba.
Is Pemba part of MAINLAND Tanzania?Nimeshakuweke uwanja wa GOMBANI Pemba.
KIumbe mwingine huyu hapa. KwikwikwikwikwiIs Pemba part of MAINLAND Tanzania?