ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,412
- 89,817
Mbona huwa mpo desperate sana na uhusiano baina ya Tanzania na SA kuliko nchi nyingine ambayo pia Tanzania ina mahusiano nazo kama SA? Which is not seating well with you on such?So Thabo Mbeki visiting Morogoro is proof South Africans love Tanzania?
Leave alone politicians. I'm talking about the people on the street.
You have changed now from respect to love.So Thabo Mbeki visiting Morogoro is proof South Africans love Tanzania?
Leave alone politicians. I'm talking about the people on the street.
wanauza share yenu ndogo iliobakia maana nchi haina hata pesa ya kulipa mishahara ya waalimu 😂😂😂😂
ni watu waliofeli kimaisha mpaka kifikra na wana elimu mbovu sana sijawah onaHivi wakundustan kwanini wanaita secondary schools zao high school? 😂😂😂
kwani wana mji mwingine apart from Naislum?Tunajenga viwanja vikubwa Dom na Arusha, nyinyi viwanja vyenu jua kali vyote vipo naislum.
ni wa kupiga bomu waanze upya.
Indeed, they're discussing security.Tanzania ina discuss budget ya vyombo vya ulinzi na usalama of course you can't skip immigration and police regarding the latest incidence but tomorrow I can assure you without any official parliamentary schedule Kunyaland parliamentarians will start replying these 😂😂
Sawa, endelea kujidanganya.You have changed now from respect to love.
Bro Tanzania is more relevant to SA than kenya.
That's a truth and you can change it. History inatubeba.
Nyinyi miaka hiyo mlikuwa busy na building your economy mfanane na singapore, cha ajabu mko mnajilinganisha na Tz sasa nchi ambayo ilisemwa kwa kuhost criminals that were fighting for independence.
Kenya ni business tu ya kuwa puppets wa wazungu and European Company branches but no country respects kenya. History inawakataa. Labda fantancies na PR zenu mitandaoni mkijipiga vifua
Mpango wa mwanzo ulikuwa reli inagawanyika Keza, moja inakwenda Rwanda nyingine Burundi.Ikikufa baada ya sisi kuanza kufikiria ujenzi wa Burundi
Ila pale ilikuwa rahisi sana kwa nchi karibia zote tatu , basi tu na sisi hatukupiga hesabu vizuriMpango wa mwanzo ulikuwa reli inagawanyika Keza, moja inakwenda Rwanda nyingine Burundi.
Inaonekana baadae Kagame na Magu wakazinguana, maana zile bashasha na Kagame ziliisha ghafla. Kukawa na viugomvi fulani kama Rwanda kunyanyasa madereva wetu, na ugomvi na Nkurunzinza ukazidi. Ndiyo baadae tukaanza kuona hii ya kwenda Msongati ikianza kuongelewa.
Wale mliokuwa mnaiponda Mbeya mpo? Mwaka huu inapita Mwanza ,tuko hapa 👇 👇Wale wa Mwanza mpo? Arusha inahitaji SGR yake pia!