Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Shindaneni na Malawi. Kenya sio level yenu.
downloadfile-6.png

We maku ni kichaa,linchi haliwezi hata kulipa mishahara,wananchi wake mlo mmoja kwa siku shida,pumbavu ubongo wako umejaa funza omba omba ww
 
Rw wamejengewa dry port kubwa sana na DP world. Hiyo dry port wamefanya lobbying ili iwe hub to Burundi and Congo also some parts of UG... Sasa watu wakaona Bora wamfate Burundi na Congo direct.... Ni chenga ya mwili tu mtu alipigwa...amesusa kipande chake hapo isaka via keza..

Same to Uganda and kunyans.... Mr loot all alienda Hadi China na kusema kipande Cha malaba tayari.... M7 nae kichwa kichwa akaingia mkenge na kuanza ujenzi na Yapi from Kampala to Tororo near malaba...baada ya ku sign deal mkunya kachomoa hana hela ya kujazia ujenzi...hivyo kipande Cha UG pia kitakuwa white elephant...

Hapa E.A tunaishi kwa kuviziana sanaa.... Usipochanga karata vizuri wanakulambisha garasha halafu wanaenda kuchekea pembenii
Kenya kushindwa kuunganisha hiyo reli mpaka malaba on time, will be a big stab right at the heart for Uganda!!
Na hawatokuja kusahau hii mile, mnamuingiza muhenge mwenzenu!! Hilo deni atalipaje wakati reli haifanyi kazi!? Yani mzigo utoke Mombasa kwa reli, halafu ushuke upande gari kutoka Nairobi mpaka malaba, then upande tena reli mpaka Kampala. Hiyo akili matope!!!!
 
Yani Mkenya mmoja which is Bonface Mwangi ameleta baridi Tanzania nzima?😂😂🤣😂.
Tell TZ politicians to trend carefully before Bongo becomes the 48th county of Kenya. Ati wataleta Jeshi ?.. make our day !… 🤣🤣
 
Kenya kushindwa kuunganisha hiyo reli mpaka malaba on time, will be a big stab right at the heart for Uganda!!
Na hawatokuja kusahau hii mile, mnamuingiza muhenge mwenzenu!! Hilo deni atalipaje wakati reli haifanyi kazi!? Yani mzigo utoke Mombasa kwa reli, halafu ushuke upande gari kutoka Nairobi mpaka malaba, then upande tena reli mpaka Kampala. Hiyo akili matope!!!!
Kwa uelekeo ilivyo sidhan kama watafanikiwa kufikisha hiyo reli malaba
 
Kumbe mifumo ya polisi ipo X na hausemi.? 🤣🤣🤣 kuna mpumbavu mwenzaki ka like eti, halafu anaishi US. 🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Kwamba huna habari X account ya Police force yenu ilikuwa hacked ama ndio kujitoa ufahamu?
 
Kwani mna polisi wangapi? Wale wa kudukuliwa mitandaoni sio polisi?
Mtandao si alidukua mwanaharakati aliyepewa kifiro,alijua polisi zile clip walimrecord wakimtembezea kifiro atazikuta mle ili azifute kuondoa ushahidi,unadhani hatujui nani mdukuaji
 
Mtandao si alidukua mwanaharakati aliyepewa kifiro,alijua polisi zile clip walimrecord wakimtembezea kifiro atazikuta mle ili azifute kuondoa ushahidi,unadhani hatujui nani mdukuaji
Ni mkenya ama ni mtanzania? 😂😂
 
Back
Top Bottom