Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

More proposed affordable housing projects in Kisumu. Hizi zikiisha hakuna any city in Tanzania apart from Dar is slum that will compete Kisumu.

1747984540636.jpeg
 
Tutaendelea kuwapa kifiro na serikali yenu hakuna kitu itafanya cz we are the leader of the region, nyinyi wakenya hamna kitu mtatuambia sisi watz, raia wenu wakileta kimbelembele tunawafira kama Mwangi ila ole wenu mfanye hivyo kwa Mtz mjue kwamba hakuna rangi mtaacha kuona.
so a whole president is afraid of an independent activist like Bonny Mwangi? mpaka mnajibandika a leader in the region because of detaining one guy😅😅
 
so a whole president is afraid of an independent activist like Bonny Mwangi? mpaka mnajibandika a leader in the region because of detaining one guy😅😅
Mwambie hata wangeua Huyo Bonface Mwangi hakuna kitu serikali ya Kenya ingefanya cause that guy has been a thorn in their ass, kwanza hata Ruto angefurahi sana.

Lakini after hapo wakenya wangechukua matters in their own hands na kufukuza omba omba na housemaids wa Tanzania wote.
 
Ndani ya miaka 30 hiyo mbuga haitakuwepo.

Taa na makelele ya ndege hakuna mnyama ataishi hapo.
Ni kweli, Jet engines zinatengeneza a range of frequencies ambazo baadhi yake hazisikiki kwetu wanadamu ila zinaweza kusikika kwa baadhi ya wanyama na kuwakwaza au kuwafanya waogope, hivyo, kuhama. Hii inaweza kuharibu ecosystem kwa kuwa hao viumbe wanaweza kuwa ni kiungo muhimu kwenye food chain.
 
Hapa ulitakiwa kumjibu huyo mwenzako.

Yeye ndio alisema siyo residential estate ni EPZ.
Kama nilivyofwatilia huo mjadala, mwenzangu alisema Tatu citi ina viwanda vingi kuliko Tanzania nje ya Dar. Wewe ndo ukasema kwahivyo sio city ila ni EPZ. Kuna mahali nimepotea hapo?

1747988482932.png

Anyway, kwa kifupi Tatu city ni mji na pia ni EPZ. Ni mji kwasababu ukikamilika utakua na wakaazi 250,000, na ni EPZ(SEZ) kwasababu serekali ya Kibaki ikitengeneza Vision 2030 iliamua ku experiment na mji unaojengwa ndani ya SEZ ili kuona kama inaweza kua chombo maalum cha kukuza viwanda Kenya, na ikifanyikiwa basi mfano huo utaigwa kando ya miji mikuu ya Kenya. ie Mombasa, Nakuru, Naivasha, Kisumu etc

Tatu City is a 5,000-acre, new city with homes, schools, offices, a shopping district, medical clinics, nature areas, a sport & entertainment complex and manufacturing area for more than 250,000 residents and tens of thousands of day visitors. Schools and businesses are already open at Tatu City, and a range of homes suit all incomes.

Tatu City is Kenya’s first operational Special Economic Zone, providing reduced corporate taxes, zero-rated VAT and import duty exemptions, among other benefits.

Tatu City is a 5,000 acres (2,000 ha) mixed-use special economic zone (SEZ) located 20 kilometres (12 mi) North of Nairobi Central Business District (CBD) in the Ruiru Municipality area of Kiambu County. It sits within the greater Nairobi Metropolitan region and is a flagship project of the Kenya Vision 2030 blueprint.

Administration​

Tatu City is designated as a project of special importance by the Government of Kenya through The Physical Land Use Planning (Classification of Strategic and Inter-county Projects) Regulations of 2019 via the Kenya Gazette Vol.CXXI-No.73 (2019) under Gazette Notice 4975. It was also, in 2017, declared a Special Economic Zone under Gazette Notice 4892 published under the Kenya Gazette Vol. CXLX-No 66 of 22 May 2017. According to the Kenyan law, projects located within a Special Economic Zone context benefit from government-issued tax incentives among other benefits
 
Attachments

  • 1747988853918.png
    1747988853918.png
    44.7 KB · Views: 13
Kama nilivyofwatilia huo mjadala, mwenzangu alisema Tatu citi ina viwanda vingi kuliko Tanzania nje ya Dar. Wewe ndo ukasema kwahivyo sio city ila ni EPZ. Kuna mahali nimepotea hapo?

View attachment 3342838

Anyway, kwa kifupi Tatu city ni mji na pia ni EPZ. Ni mji kwasababu ukikamilika utakua na wakaazi 250,000, na ni EPZ(SEZ) kwasababu serekali ya Kibaki ikitengeneza Vision 2030 iliamua ku experiment na mji unaojengwa ndani ya SEZ ili kuona kama inaweza kua chombo maalum cha kukuza viwanda Kenya, na ikifanyikiwa basi mfano huo utaigwa kando ya miji mikuu ya Kenya. ie Mombasa, Nakuru, Naivasha, Kisumu etc
Tatu is just a random street, si hata town. Acheni kuita ati ni city.
 
Kama nilivyofwatilia huo mjadala, mwenzangu alisema Tatu citi ina viwanda vingi kuliko Tanzania nje ya Dar. Wewe ndo ukasema kwahivyo sio city ila ni EPZ. Kuna mahali nimepotea hapo?

View attachment 3342838

Anyway, kwa kifupi Tatu city ni mji na pia ni EPZ. Ni mji kwasababu ukikamilika utakua na wakaazi 250,000, na ni EPZ(SEZ) kwasababu serekali ya Kibaki ikitengeneza Vision 2030 iliamua ku experiment na mji unaojengwa ndani ya SEZ ili kuona kama inaweza kua chombo maalum cha kukuza viwanda Kenya, na ikifanyikiwa basi mfano huo utaigwa kando ya miji mikuu ya Kenya. ie Mombasa, Nakuru, Naivasha, Kisumu etc
I don't know why Kenya is too obsessed na ESTATES na hizi mini cities.
 
Back
Top Bottom