Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 75,683
- 107,124
Hiyo ya kutoka Rwanda kuja Isaka ilikufa na Mwendazake!SGR inapita Isaka. Kama Uganda anataka, atachukulia hapo.
View attachment 3346245
Hiyo ya kutoka Rwanda kuja Isaka ilikufa na Mwendazake!SGR inapita Isaka. Kama Uganda anataka, atachukulia hapo.
View attachment 3346245
Ikikufa baada ya sisi kuanza kufikiria ujenzi wa BurundiHiyo ya kutoka Rwanda kuja Isaka ilikufa na Mwendazake!
Compare and contrast.
Mburahati,Manzese and Mabibo.
View attachment 3346036View attachment 3346037View attachment 3346038
Kibera slums nyumba za mabati.
View attachment 3346039View attachment 3346040
Kenya projects are always expensive coz as a free market economy, there are major obstacles of land compensation ( real and imaginary) unlike socialist countries like TZ where the government owns the land. If Kenya land system was similar to TZ, Kenya would be a first world by now. Sometimes land compensation costs as much if not more than the project itself due to market rates ( and they get exaggerated to some degree in such projects).
1. Mnanuka ndio maana tunajaribu kuwafufua.Kenya imekufa yet tunawatawala hadi kenge polisi wenu kule X!!
Nadhani ule mgogoro wa Congo na ile coalition of willing inaendelea kumla PAKAHiyo ya kutoka Rwanda kuja Isaka ilikufa na Mwendazake!
Hapa mmetuiga as we have one to be constructed in Arusha as well.
Roof ya bati 🤣🤣🤣Hivi ukiondoa Dar na Zanzibar Kuna stadium nyingine bongolala iliyo na viti vya kukalia?
Yes, those are smaller stadiums. Roof ya bati but Kuna seats. Hapo kwenu roof yenyewe hakuna, kama Iko ni ya bati pia ila viti hakuna.Roof ya bati 🤣🤣🤣
Malawi anawalisha lakiniShindaneni na Malawi. Kenya sio level yenu.
Hii hapa mount Kilimanjaro international conference center. 👇🏾.
View: https://youtu.be/LgQpz-b90EE?feature=shared. Huu ukumbi utajengwa round about ya Empala hadi kijenge.
Kundudwellers bhana hawa ni viumbe wa ajabu.Yes, those are smaller stadiums. Roof ya bati but Kuna seats. Hapo kwenu roof yenyewe hakuna, kama Iko ni ya bati pia ila viti hakuna.
Imekaa kama horse track 🤣🤣🤣🤣Linganisha na zao sasa .
Kumbuka thika SI mbali Nairobi ila kaitaba ni 900+ kutoka dodoma
View attachment 3346224View attachment 3346225
Quality kama hii jirani hana
Ya mwaka gani hii?
Ukiambiwa leta video, unabaki kuhara tu.
Hii hapa Manzese.
Unaokoteza vijumba mbili tatu, na kujnga isha na vislmu vya Kenya then unaita Dar.
View: https://youtu.be/e_E8yHr0n6I?si=IGCQZYIax73MSkdy
Hijakufa ni matter of priority tuu. Rwanda alitaka apate yeye kwanza ili awe kingpin wa SGR traffic kwenye great lakes region lakini diplomasia kati ya Burundi na TZ ikaiweka Rwanda connection pending kwanza.Ikikufa baada ya sisi kuanza kufikiria ujenzi wa Burundi
Are these real people au ni macho yangu?View attachment 3346444
Kaka kundustan maeneo kama hayo ya kibera ndio ushuani
Kumbe mifumo ya polisi ipo X na hausemi.? 🤣🤣🤣 kuna mpumbavu mwenzaki ka like eti, halafu anaishi US. 🤣🤣🤣🙌🏾🙌🏾🙌🏾Kenya imekufa yet tunawatawala hadi kenge polisi wenu kule X!!
You have proved NairobiWalker right. There is no decent stadium outside Dar, hata hii takataka umeweka hapa iko Dar.