Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Lamu has a no motorvehicle policy, a small island where you don’t really need vehicles, very rich in culture and history… donkeys are a means of transportation and I don’t see what is wrong with it so sijui mbona unacheka
watu wanakwenda mbele miaka 100 kuna binaadamu wanaenda nyuma miaka 300 hvi unataka kunambia even population ya leo lamu ni sawa na miaka 100 iliopita?

kwann hua munatafuta kichaka cha kujificha kwenye ukweli? au lamu haiko kwenye list ya counties masikini kenya? si tunaona vijana karibu 80% wameharibika na madawa ya kulevya lamu au kuna lamu nyingine kenya? 😂😂😂😂
 
toka Air tanzania ifufuliwe ina miaka mingap? na Air tanzania imeaanza kupokea ndege brand new kila baada ya miaka 2, nyie muko kwenye market over 45 yrs na hata hujiskii aibu kuona air tanzania imefufuliwa 7 yrs na still inawapumulia kwenye kijambio 😂😂😂
 
watu wanakwenda mbele miaka 100 kuna binaadamu wanaenda nyuma miaka 300 hvi unataka kunambia even population ya leo lamu ni sawa na miaka 100 iliopita?

kwann hua munatafuta kichaka cha kujificha kwenye ukweli? au lamu haiko kwenye list ya counties masikini kenya? si tunaona vijana karibu 80% wameharibika na madawa ya kulevya lamu au kuna lamu nyingine kenya? 😂😂😂😂
Sasa wewe myemen unataka Walamu waache mila na tamaduni zao ili iweje?

Alafu hizi figure unaquote hapa umezitoa wapi? Alafu sio za kupikwa leo? Mtanganyika katika ubora wao!!
 
Back
Top Bottom