Kwahiyo siku zote nyie wakenya shirika lenu la ndege lilikua linacheza tu. 🤣🤣🤣 shirika la ndege la TZ linamiliki ndege 15 na zimekamilika kufikia idadi hii last year na operations za hizi ndege zilianza zikiwa mbele 2017 yaani ni kipindi cha miaka 7 hadi leo tangu tulipolifufua shirika, while in the other hand KQ iko na ndenge 30 na zote zinafanya safari zake half a century now ila performance yake ni abiria 12 millio pessengers. 🤣🤣🤣🤣 na hii namba ni kwasabu ya uchache wa ndege za TZ. Hauoni kama hapo nyie ndie losers.? 🤣🤣 anytime soon mnapoteza hiyo tittle.
Sasa unataka tuanze kulinganisha Mombasa na Arusha in matters residential areas? Are you okay?Hii mbona ipo wazi unalia.? 🤣🤣🤣. Mana kuna post nyingi nimeku mention huzigusi. 🤣🤣🤣
Source Mama Ngina News 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Is this how you see things?This just shows Kenya's influence on the world stage, politically speaking. Ingekuwa ni SSH, no one would even bother to talk about it. But because it's the President of Kenya, Americans have to come out talk about it openly. Wewe endelea kutoa povu hapo Tandale na kutaja sgr forgetting that Americans have nothing to do with it but Chinese 😂😂
Hamna kiongozi mwenye maono bongo kama bashe hao wengine wote ni machawa tuu hamnaa loloteBashe anaakili sana aisee!!
Ila amezingua sana kwenye BBT, hasa kwenye aina ya watu aliowapeleka.Hamna kiongozi mwenye maono bongo kama bashe hao wengine wote ni machawa tuu hamnaa lolote
Imekuwaje kwaniIla amezingua sana kwenye BBT, hasa kwenye aina ya watu aliowapeleka.
Kuna wahuni wa UVCCM waliona kama ni fursa ya kupata pesa.Imekuwaje kwani