Teargass
JF-Expert Member
- Apr 23, 2018
- 30,996
- 33,233
2.6 International visitors ,5.3 international & domestic visitors 🔥🔥👇👇
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1922504731944964397?t=zawrqBbHK9ZfTFT-bIv51w&s=19
Leo tena sio 6M😂😂🤣😂
2.6 International visitors ,5.3 international & domestic visitors 🔥🔥👇👇
View: https://x.com/TanzaniaInvest/status/1922504731944964397?t=zawrqBbHK9ZfTFT-bIv51w&s=19
Maana ya Aviation passengers ndio hujui? When we talk about aviation passengers we mean the total number of all air passengers that passed through Tanzanian airports no matter the airline name. Also don’t forget thatATCL only transports 850K passengers in a year.Kwahiyo siku zote nyie wakenya shirika lenu la ndege lilikua linacheza tu. 🤣🤣🤣 shirika la ndege la TZ linamiliki ndege 15 na zimekamilika kufikia idadi hii last year na operations za hizi ndege zilianza zikiwa mbele 2017 yaani ni kipindi cha miaka 7 hadi leo tangu tulipolifufua shirika, while in the other hand KQ iko na ndenge 30 na zote zinafanya safari zake half a century now ila performance yake ni abiria 12 millio pessengers. 🤣🤣🤣🤣 na hii namba ni kwasabu ya uchache wa ndege za TZ. Hauoni kama hapo nyie ndie losers.? 🤣🤣 anytime soon mnapoteza hiyo tittle.
Ndiyo mana cku hz china yao ni Tanzania, mana huku wanapata nguo mpya na sio mtumba kama walivyozoea, na bei chee, nilicheka kuna siku mnuka mavi alimuulizia sama boy chupi za mtumba haki ya mama 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Profit ipi hyo, ikiwa kila siku ina ma delay na ma cancellation mpk 3/4 ya abiria wameihamaAnd making PROFITS.
Somali effects
Wapeni na Urais kabisa
View: https://www.instagram.com/reel/DJs_TE5teEb/?igsh=am96ZzVlNGtzdXhu
Wanaumia kuona wachina wamependa kuishi Tanzania kuliko kwao na kwamba wabongo wanafaidika na punguzo la bei plus technological transfer.Sasa unaumia.?let’s assume hizo adds zao zipo kila mahali, wewe unateseka.?
Hao wakiona wamezidiwa wanakuambia tumewaiga, ukiwaomba wakuoneshe tulichowaiga hawana.Mpango huu wa ujenzi wa uwanja wa Serengeti ni wa siku nyingi tangu utawala wa Kikwete .
Unaumia ukiwa wapi.Uwanja unaogopa mvua, kukinyesha kunageuka rice PaddyView attachment 3336064View attachment 3336063
Ila viongozi wetu wa mpira nao wapunguze ushamba waweke japo draft kwenye hiyo nyasi bhn, kuna jamaa mmoja wa Tanga anaiweza hiyo kazi sema kama kawaida ya muafrika hajiamini wameenda kuchukua watu sijui ujerumani huko wamepiga kazi basic wamelipwa mabilioni wakati jamaa wa Tanga kule angepiga kazi safi kwa gharama ndogo kabisa, alipiga kazi mkwakwani pale, ila ndiyo hivyo tena wazee wa 10% hawawezi elewa.Jana ulikimbia umekuja tena leo 🤣🤣🤣🤣 mbona unachamganya picha.? Hii ni picha ya jana nimepost mimi ambao ndio current state of the field. 👇🏾View attachment 3336079naone umei download umeileta tena na viambatanisho vya picha za last month.? 🤣🤣🤣 nyingine hii 👇🏾View attachment 3336080View attachment 3336081kama unaumia njoo uuchimbue chimbue uwanja.
Mbona pesa ndogo hii? Mambo ya jua kali haya.The Sports and Arts Arena Construction Project in 2025/26 has been allocated a total of Tsh 450,000,000
The Sports and Arts Arena Construction Project in 2025/26 has been allocated a total of 450,000,000 Shillings. The planned activities include finding a consultant and conducting a feasibility study for the project, which will include drawings, construction costs, an environmental impact study and a business plan.