Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Acheni siasa, hao watu aliwachagua yeye?? Kila kitu kilikuwa wazi. Tatizo wengi wetu ujuaji mwingi sana. Program hata kuanza haijaanza watu mapovu yanawatoka!!

Shame!!
Unatukanaaaa.

Umeshakula pesa nini?

Watu kama nyie ndio mnatoa mpaka.uhai wa watu kwasababu ya pesa na madaraka.

Kumbe program haijaanza!!!
 
Back
Top Bottom