Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Kila mtu anajua makwapa haiwezi kustahimili mvua na ndio sababu CAF wakona waipatie Talanta opening/closing matches za AFCON 27
Utaacha lini tabia ya kukunya vichakani? No wonder mpaka leo una comment pasipo credible source, unadhani CAF ni wajinga kama wewe wapeleke michuano mikubwa hivi kwenye nchi ya kimavi kama Kenya? Hamuandai Afcon wala Chan.
 
Kwahiyo siku zote nyie wakenya shirika lenu la ndege lilikua linacheza tu. 🤣🤣🤣 shirika la ndege la TZ linamiliki ndege 15 na zimekamilika kufikia idadi hii last year na operations za hizi ndege zilianza zikiwa mbele 2017 yaani ni kipindi cha miaka 7 hadi leo tangu tulipolifufua shirika, while in the other hand KQ iko na ndenge 30 na zote zinafanya safari zake half a century now ila performance yake ni abiria 12 millio pessengers. 🤣🤣🤣🤣 na hii namba ni kwasabu ya uchache wa ndege za TZ. Hauoni kama hapo nyie ndie losers.? 🤣🤣 anytime soon mnapoteza hiyo tittle.
Ni hesabu ndogo sana na imewashinda hawa wajinga, yn leo hii wameanza kulinganisha KQ na TC angalia the difference in % increase, very lazybones aisee, wao walipaswa nowadays washindane na ET lkn wapiii, wazembe sn hawa jamaa, in next few yrs to come TC peer wake itakuwa ET na co KQ kama sasa .
 
Wakenya wasenge sana.

Wanaandika Ngorongoro kwenye ndege yao, ili iwe nini😅😅😅
Kenya ni kama kuku aliyekatwa kichwa, anapapatika tuu.
  • Walitoa 'A' levels sekondari ili wawe kama US, wakaharibu elimu yao
  • Walitoa mfumo wa regional govenments na kuweka counties kama US, corruption ikaongezeka
  • Tulipoziita ndege zetu majina ya Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro n.k na wao wakatuiga.
  • Tulipojenga mfumo wa BRT wakatuiga, sasa imewashinda
Hawawezi anzisha vitu vyao wenyewe, ni kuiga iga tuu.
 
Kenya ni kama kuku aliyekatwa kichwa, anapapatika tuu.
  • Walitoa 'A' levels sekondari ili wawe kama US, wakaharibu elimu yao
Kenya wanapambana sana kuwa kama US wakati uwezo ni mdogo.

Mfumomwao wa Seneti na Countoes unatafuta sana pesa.

Diwani tu wa Kenya anatafuna mshahara wa milioni 2 kwa mwezi.
  • Walitoa mfumo wa regional govenments na kuweka counties kama US, corruption ikaongezeka
Yaani hata haijulikani walikjwa wanataka kufanya nini?
  • Tulipoziita ndege zetu majina ya Kilimanjaro, Serengeti, Ngorongoro n.k na wao wakatuiga.
Ni desperate
  • Tulipojenga mfumo wa BRT wakatuiga, sasa imewashinda
Hawawezi anzisha vitu vyao wenyewe, ni kuiga iga tuu.
Majiji yote ya kisasa yanatakiwa kuwa na BRT, Trams, au Metros.

Nairobi wamekomaa na Matatu zao, mji umejaa FUJO.

Na kujenga BBT Kenya ni ngumu sana, na itakuwa ngumu zaidi kwasaaa kwasababu uwezo wa kukopesheka na kulipa madeni umeshuka sana.
 
Kwa akili zao wanafikiri wanatuharibia biashara, kumbe wanatufanyia marketing.
Ngorongoro ni brand kubwa.


Kuna vitu ambavyo ni bucket list za watu wanaweka akiba ili watimize kwenye maisha yao.

Tanzania Northen Circuit (Serengeti, Ngorongoro, Tarangire + Kilimanjaro)

Wakimaliza wanaenda Fukwe za Zanzibar.
 
Back
Top Bottom