Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

IMG_3736.jpeg
 
A very small percentage of Kenyans live in slums and yes, we have at some point demonstrated against unfair land ownership. Hapo kwenu hata wengi wenu hamna habari mmeibiwa. Mnaamini nchi yenu nyeupe kama pamba hamna corruption. Hata hamjiulizi mbona mna resources mara nne ya Kenya na bado kiuchumi mpo nyuma ya Kenya yet Wakenya wanalalamika kuhusu corruption wakati nyie mmeaminishwa politicians wenu weupe kama pamba. 90% ya mabango hapo kwenu ni kusifia wanasiasa. Mpo mpo tu. Badala ya kupiga yowe msafishe nchi yenu mnahangaika na Wakenya wanavyojaribu kusafisha nchi yao. Dar 70% ni slum ila mnaaminishwa hamna slum. Wachache wenu wenye Wana courage ya kukashifu ufisadi wanapotea with no trace. Nchi maskini imeaminishwa ni nchi ya milk and honey.🚮🚮🚮
Hizi mbuzi mtazipigia guitar hadi lini?🤣🤣🤣🤣., ziliganda akili zamaaani!, yaani akili zimeduaa🤣🤣🤣.,
 
I remember there's a time we shared dusty roads in Masaki, their most affluent estate. Yani mtaa bora kuliko zote Tanzania kuna maeneo hayajaona lami 😂😂
Mgeni pia aliona hivyo in 2025!!., many dirt roads, njia mingi ni za vumbi ukilinganisha na Nairobi, wako hovyo, hawapendi ukweli hivi vijibwa koko🤣🤣🤣, Wacha waumbuliwe.., 🤣🤣🤣., jamaa aliona BRT, SGR, bridges, ila akiangalia Dar kwa ujumla bado wako nyuma ya Kenya miaka 30!., baba Levo kasema Dar Iko nyuma ya Nairobi miaka 25 hapo kitambo kidogo🤣🤣🤣🤣🤣.,
 
A few government facilities ndio unashinda umetuonyesha. Next ni zile hoteli kidogo za watalii. Wewe tulishakuzoea.
City ni moja Tanzania with one CBD pekee, Dar is slum., mengine wachana nazo., niza mchongo(how they put it🤣🤣🤣).,
 
Listed company vipi ukizingumzia kampuni ambazo ni private kwa Tanzania zimezidi kampuni zenu za kikenya

Sababu kuu ilikuwa hiii
BoT raises non-competitive bid threshold to boost participation
Tuesday, May 13, 2025
New Content Item (
1)
Look at this response 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Eeeeeiiii elimu ya Sisiemu. 🤣 🤣 🤣 Nishakuambia market cap is for listed companies lakini lazima uonyeshe upumbavu na ujeuri wako. Sasa kama haipatikani kwa mdomo tupatie market cap za hizo companies zenu ambazo ni private and not listed. 🤣🤣🤣
Ndo maana tunakuambia elimu yako ndogo . Naivas is not listed lakini Ina shareholders Ina maana Haina market cap.
Market cap = equity value
Ebu pita jielimishe kidogo
The market capitalization metric, often abbreviated as “market cap”, represents the total value of a company’s equity, most often measured to analyze the valuation of publicly-traded companies.

Otherwise, if the company is private—i.e. if its shares of ownership are not publicly traded on the stock markets—the value of its equity should be referred to as equity value instead.

When equity analysts and investors discuss the value of companies, two of the most frequently used terms are “equity value” and “enterprise value”, which are briefly explained below:

Equity Value (Market Capitalization) ➝ The value of the company to the owners of its common equity (i.e. the common shareholders)
Shule huna
 
Look at this response 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Shule huna huwez elewa eti unlisted company hazina market capitalization🤣🤣🤣🤣
Kwani hamkufundishwa market cap = equity value
Shule zenu za wapi🤣🤣🤣
The market capitalization metric, often abbreviated as “market cap”, represents the total value of a company’s equity, most often measured to analyze the valuation of publicly-traded companies.

Otherwise, if the company is private—i.e. if its shares of ownership are not publicly traded on the stock markets—the value of its equity should be referred to as equity value instead.

When equity analysts and investors discuss the value of companies, two of the most frequently used terms are “equity value” and “enterprise value”, which are briefly explained below:

  • Equity Value (Market Capitalization) ➝ The value of the company to the owners of its common equity (i.e. the common shareholders)
 
Hebu post zile neighborhoods za mombasa. Naona mchana ulinikimbia. 🤣🤣🤣🤣
Hakuna jiji Tanzania iko na many or vast standard neighborhoods on average kama Mombasa, Dar yenyewe neighborhood ni 80% uswazi.., so kazi yako iliisha miaka ya nyuma., chezea google earth ujionee mwenyewe., propaganda, uongo na porojo hazina nafasi 2025!!.., kazi kwako, nilisha nawa mikono.,
 
Back
Top Bottom