Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Hakuna jiji Tanzania iko na many or vast standard neighborhoods on average kama Mombasa, Dar yenyewe neighborhood ni 80% uswazi.., so kazi yako iliisha miaka ya nyuma., chezea google earth ujionee mwenyewe., propaganda, uongo na porojo hazina nafasi 2025!!.., kazi kwako, nilisha nawa mikono.,
Ukitaja neighborhoods sahii Dodoma is 2 times larger than Mombasa, Dodoma ni moto wa kuotea mbali.. heb post hizo neighborhoods zako za mombasa kama hutoishia kuleta hotels 🤣🤣🤣🤣.. hiyo si hata discusion. And guess what baki hapohapo.
 
Ukitaja neighborhoods sahii Dodoma is 2 times larger than Mombasa, Dodoma ni moto wa kuotea mbali.. heb post hizo neighborhoods zako za mombasa kama hutoishia kuketa hotels 🤣🤣🤣🤣.. hiyo si hata discusion. And guess what baki hapohapo.
Sawa sibishani na wewe kwa muonekano na fikra zako uko sawa tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., ehe boss🤣🤣🤣🤣🤣., lala poa
 
Kwa hivyo nikiandika hii ulikua unajifanya hujaona, nilikuambia vidole vyako hukimbia kuliko akili yako, sasa ona unakaa fala.
It's hard kujua market cap ya private company because the shares are not listed, we can only use revenue na we already confirmed Naivas pekee has more revenue than any company in bongoslum.

Ndo maana tunakuambia elimu yako ndogo . Naivas is not listed lakini Ina shareholders Ina maana Haina market cap.
Market cap = equity value
Ebu pita jielimishe kidogo
The market capitalization metric, often abbreviated as “market cap”, represents the total value of a company’s equity, most often measured to analyze the valuation of publicly-traded companies.

Otherwise, if the company is private—i.e. if its shares of ownership are not publicly traded on the stock markets—the value of its equity should be referred to as equity value instead.

When equity analysts and investors discuss the value of companies, two of the most frequently used terms are “equity value” and “enterprise value”, which are briefly explained below:

Equity Value (Market Capitalization) ➝ The value of the company to the owners of its common equity (i.e. the common shareholders)
Shule huna
 
Ukitaja neighborhoods sahii Dodoma is 2 times larger than Mombasa, Dodoma ni moto wa kuotea mbali.. heb post hizo neighborhoods zako za mombasa kama hutoishia kuleta hotels 🤣🤣🤣🤣.. hiyo si hata discusion. And guess what baki hapohapo.
Huyu hawezagi hata kuleta picha
 
Sawa sibishani na wewe kwa muonekano na fikra zako uko sawa tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., ehe boss🤣🤣🤣🤣🤣., lala poa
Lazima ukimbie hii. 🤣🤣🤣. Hebu tujaribu tuoe. Dom hiyo. 👇🏾
IMG_7045.jpeg
hebu post zile nyumba zako ulikua unapostigi 🤣🤣🤣🤣
 
Ukitaja neighborhoods sahii Dodoma is 2 times larger than Mombasa, Dodoma ni moto wa kuotea mbali.. heb post hizo neighborhoods zako za mombasa kama hutoishia kuleta hotels 🤣🤣🤣🤣.. hiyo si hata discusion. And guess what baki hapohapo.
Umemaliza kupost government facilities na hoteli za Arusha, si nilikushow hunanga jipya huko Arusha.
 
Kwa hivyo nikiandika hii ulikua unajifanya hujaona, nilikuambia vidole vyako hukimbia kuliko akili yako, sasa ona unakaa fala.

Mgumu kuelewa haya equity huwez ipata kwenye financial statements ?
Na SI umesema kuwa market cap ni for only listed companies🤣🤣🤣🤣nadhani hukujua kwamba market cap = equity value kwa maana umaana
Equity na debts zinapatika a kwenye financial statements ambazo kwa muda wako unaweza calculate ukapata market value ya kampuni husika.
Pili umesema kuwa tunaweza kadilia kampuni kwa mauzo , hayo mauzo unayatoa wapi kama sio kwenye income statement za kampuni husika ,sasa unawezaje sema kuwa naivas Ina mauzo wakati huna statement yoyote ya kampuni yoyote Tanzania . Na the only reliable financial information ni financial statement 🤣
 
Lazima ukimbie hii. 🤣🤣🤣. Hebu tujaribu tuoe. Dom hiyo. 👇🏾View attachment 3334094hebu post zile nyumba zako ulikua unapostigi 🤣🤣🤣🤣
Mombasa imeizidi Dar, no such vast neighborhood in Dar es Salaam kama haujaingia uswazini.., Dodoma ni village

View: https://youtu.be/HGgvGrswc2c?si=rDn08XP0aZR7rzJy

Na kiembeni je?.., estate moja inatoshana na jiji lote la Dodoma🤣🤣🤣🤣., Wacha bangi kilaza, sio mboga!.,

View: https://youtu.be/UuGlrodo9bs?si=dZo8RIPCkjv2c4pU
 
Umemaliza kupost government facilities na hoteli za Arusha, si nilikushow hunanga jipya huko Arusha.
Vipi kuna pingamizi huko.? 👇🏾This is the side of Arusha that you never seen it anywhere.. Olacity Arusha 👇🏾
IMG_7354.jpeg
IMG_7358.jpeg
IMG_7342.jpeg
IMG_7351.jpeg
IMG_7360.jpeg
IMG_7356.jpeg
.. hii sio njiro wala sio ngaramtoni ya chini. 🤣🤣🤣 Arusha is indeed beautful. Hii isikupite bwana Don YF. Hebu leta zile neighborhoods za mombasa. 🤣🤣
 
In Mombasa mitaa ya raiya wa kawaida, average standards, ni zaidi in vastness(upana na urefu) ya standard neighborhoods ndani ya jiji yoyote Tanzania,..,.,
 
Back
Top Bottom