President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,631
- 94,237
Match moja tu na wametolewa. Next Match ni kukamilisha tu maana zote mbili burundi wameshinda.bungome ni channel ya vichekesho 🤣🤣🤣
View attachment 3672871
Wakenya wanafungasha mabegi na kurudi kwao Kibera.
Sisi Tulingomna Rwanda 3:0, Ethiopia na Rwanda wametoka 0:0. Tunataka suruhu tu na Ethiopia tunasonga mbele.