Chamoto
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 9,883
- 22,305
Picha ya Kenya niliyoquote kwani ipo mjini? It was in rural Kenya and I responded by posting the same type of house in rural tanzania Sasa unatafuta pa kuorokea.
About umeme, this picture summarizes everything. Tunajua ni wapi ndio Kuna nyumba hazina umemekatinya Nairobi na DarView attachment 3333462
Mambo na maji usitaje wakati sewer system yenyewe hamjui ni nini. Water system and sewer system go hand in hand View attachment 3333466
Tanzania iko sparsely populated na zaidi ya 40% ina mbuga au ni reserved areas.
Angalia ramani ya US utaona kuanzia miji kama Bismarck, ND mpaka Austin TX kwenda west hakuna mwanga wa kutosha ukiacha miji mikubwa kama Denver CO, Phoenix, AZ na Las Vegas NE. Hii ni kwa sababu hayo maeneo ni sparsely populated, kutokana na kuwa na jiografia ya ukame.