Sama boy 255
JF-Expert Member
- Mar 5, 2021
- 13,806
- 41,703
Inside the largest shopping center in East Africa.
Umekiri kwamba ni ngumu kujua details za private companies , na ili tupate revenue za kampuni husika lazima upate financial reports ambazo zimetumika kufanya hesabu za kulipia Kodi .It's hard kujua market cap ya private company because the shares are not listed, we can only use revenue na we already confirmed Naivas pekee has more revenue than any company in bongoslum.
Market cap unaipata kwenye financial statement sio kwenye mdomoIt's hard kujua market cap ya private company because the shares are not listed, we can only use revenue na we already confirmed Naivas pekee has more revenue than any company in bongoslum.
Hakuna anayejali sana corruption yenu ni kwamba tuu, tunawashanga manavyosema mna democracy huku mkiwaacha wachache wamiliki rasilimali yote ya nchi.Shida ni pale mnapofocus sana kwa corruption ya Kenya kuliko hata ya kwenu kisa sisi tunaikashifu openly na nyinyi mnafichaficha.
Land yetu inatumika vizuri ndiyo maana hatuna njaaKwa hivo mna arable land nyingi kutushinda kisa mnalinda rasilmali zenu?
Kihistoria, tulizuia kutumia rasilimali kama madini, kwasababu ya hatukuwa na uwezo wa kuchimba wenyewe. Nyerere akasema madini hayaozi, tukipata uwezo wa kujinufaisha (wataalamu na fedha n.k) tutaanza kuyatumia.Mna coastline ndefu kutushinda kisa mnalinda rasilmali zenu?
Mna water sources nyingi kutushinda kisa mnalinda rasilmali zenu?
Mna natural gas yenye sisi hatuna kisa mnalinda rasilmali zenu?
Don't just argue to win an argument bro. Be factual.
Tunasomesha watoto bure mpaka form 4, tunalipa mishahara, miradi mikubwa (SGR over 1000Km) inaendelea, BRT sasa tuko phase 4, Dodoma inajengwa.Kwa hivo Tanzania inajibeba kivipi venye Kenya haiwezi jibeba? Nchi yenu yenyewe imekuwa kwa global radar juu ya kupika data yet the way you throw the word around one may think you have the most accurate data on the planet.
Dar Ina slums, nimeziona kwa macho yangu.
Kuna yule aliambiwa kigoma kuna udogo mwekundu lakini watu wake hawana funza. Hii ni katikati ya kijiji huko Kigoma na huyo apa ni msanii wao. 👇🏾
View: https://www.instagram.com/reel/DJjLAcQskH3/?igsh=cWExaGdydGY2MHo0.
Tumeanzisha mifumo mingi sana inayominya mianya ya rushwa. Actually naweza sema Tanzania kwa sasa hakuna utakachoweza fanya kwa ofisi ya serikali bila kupita kwa mfumo.Hakuna anayejali sana corruption yenu ni kwamba tuu, tunawashanga manavyosema mna democracy huku mkiwaacha wachache wamiliki rasilimali yote ya nchi.
Kuna ujenzi wa mabwawa ya umwagiliaji , mikopo ya vikundi kwa halmashauri na kadhalikaLand yetu inatumika vizuri ndiyo maana hatuna njaa
Kihistoria, tulizuia kutumia rasilimali kwasababu ya hatukuwa na uwezo wa kuchimba wenyewe. Nyerere akasema madini hayaozi, tukipata uwezo wa kujinufaisha (wataalamu na fedha n.k) tutaanza kuyatumia.
Akaja Mkapa, akaamini sana wawekezaji wa nje akagawa madini hovyo, miaka karibu ishirini hatukufaidika. Kikwete naye akagawa gesi. Magufuli alipokuja akawabana hao wawekezaji na kuweka sheria za nchi kujilinda.
Hii habari ya kuwa hamna rasilimali sijui mmeitoa wapi? Kenya inawezekana mna mafuta mengi sana Turkana na kwenye mpaka wa South Sudan ila kwasababu mmejazana hapo central, hamfikirii kufanya uchunguzi huko north.
Tunasomesha watoto bure mpaka form 4, tunalipa mishahara, miradi mikubwa (SGR over 1000Km) inaendelea, BRT sasa tuko phase 4, Dodoma inajengwa.
Wana miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu.Hebu niambie nini kinaendelea Kenya sasa hivi?
Mkifika hizi levels niite.Runda mall kenya. 👇🏾View attachment 3333990vs palm mall Kigamboni dasilinga. 👇🏾View attachment 3333991
… vipi bwana nairobae hii battle ume give up.? 🤣🤣🤣
Hiyo ni miradi ya chekechea, imagine bomba la hoima likikamilika huo mkwanjwa utakaoingia, imagine reli ikifika Congo.Wana miradi ya ujenzi wa nyumba za bei nafuu.
Hii Arusha ama kuna ingine? Hii yenye ikona barabara ya vumbi CBD. 🤣🤣🤣Arusha ni proper city bhana. Huwezi linganisha na hivyo vimji vyao sijui kisumu na vijiji zingine. EAC HQ. View attachment 3334006View attachment 3334008View attachment 3334009View attachment 3334010… nairobae vipi hapo mkuu una pingamizi.? 🤣🤣
12*210,000*365=935mil usdHiyo ni miradi ya chekechea, imagine bomba la hoima likikamilika huo mkwanjwa utakaoingia, imagine reli ikifika Congo.
RenderMkifika hizi levels niite.
![]()
Hii ni kwa hesabu ya kupitisha one barrel kwa $12, aisee kweli ishi na watu vizuri, huwezi juwa kesho itakuwaje.12*210,000*365=935mil usd
Hebu ipoint hiyo barabara ya vumbi tuone basi 🤣🤣🤣🤣 kumbe umeona hadi barabara za vumbi na hautuambii.?Hii Arusha ama kuna ingine? Hii yenye ikona barabara ya vumbi CBD. 🤣🤣🤣
🤣 🤣 🤣![]()
Hiki ni nini.? 🤣🤣🤣🤣Mkifika hizi levels niite.
![]()
Ndo maana nawambiaga inatakiwa tumvute mseveni Tena dar kwenye ishu ya sgr, yaani akikubali south Sudan nayo yetuHii ni kwa hesabu ya kupitisha one barrel kwa $12, aisee kweli ishi na watu vizuri, huwezi juwa kesho itakuwaje.
Eeeeeiiii elimu ya Sisiemu. 🤣 🤣 🤣 Nishakuambia market cap is for listed companies lakini lazima uonyeshe upumbavu na ujeuri wako. Sasa kama haipatikani kwa mdomo tupatie market cap za hizo companies zenu ambazo ni private and not listed. 🤣🤣🤣Market cap unaipata kwenye financial statement sio kwenye mdomo
Mall so nice hadi unaita render. 🤣 🤣 🤣 Too good to be true for bongoslum standards,Render
Mi naamini kile kipande cha kufika Bukoba kipo ila hakisemwi kuzubaisha jamaa zetu hawa. Tukifika Mwanza utashangaa kuna tenda inatangazwa. Kumbuka Pande ile kuna soko la Uganda, S.Sudan na ChadNdo maana nawambiaga inatakiwa tumvute mseveni Tena dar kwenye ishu ya sgr, yaani akikubali south Sudan nayo yetu