Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Better or vast?., tunazungumzia normal standard neighborhood, mitaa za raiya wa kawaida sana, sio uswazi ama high end., mko hovyoooo!!., Bamburi ni mini city.., iko na supermarkets, clubs, and various shopping centers , sio hiyo Kijiji unajaribu kujimwambafy nayo, nyumba design za kizamani!!!.., 🤣🤣🤣🤣., maskini dogo unatia huruma 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣, ukubwa wa Bamburi ni zaidi ya Dodoma CBD!., unabisha???., 🤣🤣🤣🤣.,
Ati.? 🤣🤣🤣 mitaa za kawaida, Dom inapiga hiyo mombasa village mchana kweupe.. mbona unakimbia battle.? 🤣🤣🤣
 
Kuna Dodoma nyingine ama ni hii moja?.., 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,nikuumbue kabla ulale?
 
Because they have shareholders lazima waandae financial statement ili investors waweze kusoma taarifa. Hiyo lazima waandae
Sasa ndo maana nikuambia huelewi chochote financial information haipatikan kwa website 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Azam hiyo taarifa since 2015 ipo na hajawahi badilisha 🤣🤣🤣🤣 ungekuwa na taarifa Azam sawa hapo unachoongea ni porojo .
Unakikataa ulichokuwa unatetea
The fact remains they do not make it public. Sasa wewe enda uombe hao shareholders hizo financial statements tuone kama watakupea. 🤣 🤣 🤣 At the moment I trust their website ju wao ndio wanajua better.
 
Kuna Dodoma nyingine ama ni hii moja?.., 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,nikuumbue kabla ulale?
Dodoma ikitaka iende show kwa show mombasa itatobia wapi na manyumba ya zamani.? 🤣🤣🤣🤣unaijua kama hii ni dodoma lakini.? Au unajisahaulisha.? 👇🏾
View: https://youtu.be/-7hacRaLmzc?si=S4ZTgGOohuV6NiMr.
View: https://youtu.be/1zMIn8q_EmY?si=Xh5l68N6ePGjiPbV.
View: https://youtu.be/S8f0Rxv0FnU?si=0dD05ilPcK-bPp2X. 🤣🤣🤣 unataja habari za bamburi.? These are 3 diferent places. 17 km away from city center. 🤣🤣 mombasa itatoboa huu uzi.? Labda ivunjwe ijengwe upya.
 
Wewe kojoa ulale. 🤣 🤣 🤣
 
Ati.? 🤣🤣🤣 mitaa za kawaida, Dom inapiga hiyo mombasa village mchana kweupe.. mbona unakimbia battle.? 🤣🤣🤣
Dodoma neighborhoods ni 90% vumbi, and confused housing,., fikra zako ni za vijiweni walai🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., blind patriotism, lazima ubishe tu ata kama ukweli uko wazi sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,

Yaani ni muonekano wa ushamba kwa upana🤣🤣🤣🤣 vijiji za Dodoma👇🤣🤣🤣🤣🤣.,
Screenshot_20250515-002012.jpg

Screenshot_20250515-001901.jpg

Screenshot_20250515-001848.jpg

Screenshot_20250515-001822.jpg

Screenshot_20250515-001804.jpg
 
Dodoma neighborhoods ni 90% vumbi, and confused housing,., fikra zako ni za vijiweni walai🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., blind patriotism, lazima ubishe tu ata kama ukweli uko wazi sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,

Yaani ni muonekano wa ushamba kwa upana🤣🤣🤣🤣 vijiji za Dodoma👇🤣🤣🤣🤣🤣.,
View attachment 3334143
View attachment 3334142
View attachment 3334145
View attachment 3334147
View attachment 3334146
Mjomba kaelemewa sasa anatafuta pakukimbilia.? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Ki upangaji wa maeneo mombasa haiwezi dodoma hata kwa dakika 1.
 
Dodoma ikitaka iende show kwa show mombasa itatobia wapi na manyumba ya zamani.? 🤣🤣🤣🤣unaijua kama hii ni dodoma lakini.? Au unajisahaulisha.? 👇🏾
View: https://youtu.be/-7hacRaLmzc?si=S4ZTgGOohuV6NiMr.
View: https://youtu.be/1zMIn8q_EmY?si=Xh5l68N6ePGjiPbV.
View: https://youtu.be/S8f0Rxv0FnU?si=0dD05ilPcK-bPp2X. 🤣🤣🤣 unataja habari za bamburi.? These are 3 diferent places. 17 km away from city center. 🤣🤣 mombasa itatoboa huu uzi.? Labda ivunjwe ijengwe upya.

Lala, linganisha Dodoma na akina Mwanza na Arusha, yaani huko huko Tanzania fukara 🤣🤣🤣🤣., jipimanishe wenyewe 🤣🤣🤣,, Mombasa mwenzake ni Dar pale Tanzania, na imeizidi kwa mengi, mko chini sana, hakukosea huyu👇👇., alijionea mwenyewe, sihitaji shahidi mwingine, kesi imeisha🤣🤣🤣🤣🤣
Alamsiki
 
Dodoma neighborhoods ni 90% vumbi, and confused housing,., fikra zako ni za vijiweni walai🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., blind patriotism, lazima ubishe tu ata kama ukweli uko wazi sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,

Yaani ni muonekano wa ushamba kwa upana🤣🤣🤣🤣 vijiji za Dodoma👇🤣🤣🤣🤣🤣.,
View attachment 3334143
View attachment 3334142
View attachment 3334145
View attachment 3334147
View attachment 3334146
Cheki dodoma hiyo. 👇🏾
IMG_6296.jpeg
itakutoa mapuvu hii. 🤣🤣🤣
 
Mjomba kaelemewa sasa anatafuta pakukimbilia.? 🤣🤣🤣🤣🤣🤣. Ki upangaji wa maeneo mombasa haiwezi dodoma hata kwa dakika 1.
Sawa basi, pumzika tu, pressure isikuuwe, nimekubaliana na wewe, lala basi, imetosha🤣🤣🤣🤣🤣.,
 
Dodoma neighborhoods ni 90% vumbi, and confused housing,., fikra zako ni za vijiweni walai🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣., blind patriotism, lazima ubishe tu ata kama ukweli uko wazi sana🤣🤣🤣🤣🤣🤣.,

Yaani ni muonekano wa ushamba kwa upana🤣🤣🤣🤣 vijiji za Dodoma👇🤣🤣🤣🤣🤣.,
View attachment 3334143
View attachment 3334142
View attachment 3334145
View attachment 3334147
View attachment 3334146
Eti hii ndio the best planned city in bongoslum. 🤣 🤣 🤣
 
Lala, linganisha Dodoma na akina Mwanza na Arusha, yaani huko huko Tanzania fukara 🤣🤣🤣🤣., jipimanishe wenyewe 🤣🤣🤣,, Mombasa mwenzake ni Dar pale Tanzania, na imeizidi kwa mengi, mko chini sana, hakukosea huyu👇👇., alijionea mwenyewe, sihitaji shahidi mwingine, kesi imeisha🤣🤣🤣🤣🤣
Alamsiki
View attachment 3334148
🤣🤣🤣🤣 watu wameona very clear. Wapi ni wapi.
 
Watu ni nani?., hawa 👇shahidi tosha?., sio Watanzania Wala wakenya very objective, hakuna porojo Wala propaganda 🤣🤣🤣🤣🤣., potelea mbali

👇👇
 
View attachment 3334150
👇👇
Kuna objective ganj.? .. linganisha bamburi na hii 👇🏾. Hujashinda balttle Ulikua tu na umalaya wa kujichekesha na tarantarira mingi. Bamburi si ni hii.👇🏾
View: https://youtu.be/HGgvGrswc2c?si=m4G4DPIXAAIDmZ6H. Hebu tuone which beigborhood is better. 👇🏾Olacity Arusha.
IMG_7411.jpeg
🤣🤣🤣🤣 hii kwa hapo kenya labda uitafute kule Nairobi.
 
Battle umepoteza kelele tu ndio ulikuanazo. Bamburi .? 🤣🤣👇🏾
View: https://youtu.be/HGgvGrswc2c?si=m4G4DPIXAAIDmZ6H. Linganisha na hii basi 👇🏾 View attachment 3334153

A place more developed than Dodoma CBD yenyewe nifananishe na vijumba vimetapakaa🤣🤣🤣, dogo pressure itakuuwa, unaumwa naona🤣🤣🤣🤣🤣., lala dogo., sio lazima ubishane it's not a matter of life and death, ukweli iko ilivyo hatuna uwezo wa kubadilisha ata tuandike hadi asubuhi., goodnight.
 
Back
Top Bottom