Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Tatu City has more industries than entire Tanzania ukitowa Dar. As of now Tatu City has 95 industries and those industries sio za kimandazi mandazi Kama za uko Tanzania, some of the industries at Tatu are as follows

Air separation plant
Vehicle assembly plant
Alcohol Manufacturing Plant
Coffee Processing Plant
Ceramic manufacturing plant
Table top cooking stove plant
Kwahiyo siyo City ila ni EPZ??

Mmezoea kudanganywa kila siku, mpaka mmezoea
 
So, slum Kenya ni Kibera pekee.
Tumia google earth tuone Nairobi yoote na Dar yoote., usiogope sio kosa kuanika Dar yote humu., na Nairobi pia, watu washuhudie real images, waone tofauti., kazi yenu ni kidogo sana, domo domo ndio mingi, facts ni nyundo kwa porojo zenu.,
 
Kwahiyo siyo City ila ni EPZ??

Mmezoea kudanganywa kila siku, mpaka mmezoea
Lipumbavu ni lipumbavu tu🤣🤣🤣🤣🤣🤣, city ikiwa na industries ni EPZ eti?.., so EPZ iko na residentials, schools, office blocks, data center, etc, vilaza hawataisha Tanzania walai🤣🤣🤣🤣
Mbona EPZ isikue ndani ya city?
 
Tatu City Opens “The Link,” Driving Job Creation and Investment

Tatu City marked a significant milestone with the grand opening of The Link, a cutting-edge $20 million facility within Phase 2, designed to meet the growing demands of local and international businesses. Spanning 10,000 square meters, this world-class hub will accommodate companies specializing in industries ranging from electronics assembly to beverage manufacturing, creating an estimated 5,000 jobs for Kenyans.

Completed ahead of schedule in just 14 months, The Link now stands as a beacon of efficiency and investment readiness, joining over 100 companies already thriving within the Tatu City Special Economic Zone (SEZ).

“The launch of this facility underscores the power of public-private partnerships in driving economic growth.” John Mwendwa, OGW, CEO KenInvest. He further reaffirmed KenInvest’s commitment to fostering a business-friendly environment, aimed at attracting more investors and expanding the number of enterprises in the country. Notably, the announcement that ten new companies will soon establish operations within The Link highlights both the facility’s strategic appeal and the upward trajectory of Kenya’s investment landscape. Mwendwa also emphasized the pivotal role of private sector investment in national development.

The rapid construction and immediate interest from businesses reinforce Kenya’s position as a premier investment destination. By focusing on high-growth sectors and actively supporting investor needs, Kenya continues to unlock new opportunities for economic expansion and employment.

The KenInvest CEO noted that the story of Tatu City is a testament to Kenya’s dynamic growth and success, demonstrating what is possible when the public and private sectors collaborate effectively.

How can a one company own a CITY with own rules and regulations, and you think its better??

Sasa kazi gani mtapata hapo zaidi ya kazi za mjengo, housemaids na usafi??

Africa needs manufacturing technology and industries, na Kenya inahitaji large scale farming.

Sasa hivi kila shamba la Coffee walilokuwa wanalima settlers, mnakata PLOTS na kujenga estates.

Na mnaona it's just GOOD.
Nenda ukakaririe hii riwaya kwa vilaza wa CCM, mnahitaji sana, large scale farming in Tanzania ni nadra sana, u can't level!, nyie ni subsistence farmers, mifukara tu., Kenya has the most skilled labour in East Africa, sio vijakazi kama nyie, mnakuja Kenya kwa wingi kutufanyia kazi za maids kwa nyumba zetu na kufyeka nyasi yaani shamba boys na wasio bahatika wanalazimika kukua omba omba mitaani, jiangalie, Wacha kutazama Kenya kwa lenses ya kiTanzania,., unadhani matatizo yetu ni yenu., mko hovyo bana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mmeshaozea kudanganywa kama majuha
Kenya sio taifa ya machawa na vilaza kama Tanzania., usitufananishe na upuzi wenu, we are a woke society in EAC, Tanzania mmeshikwa kende hamuna pumzi., you don't have moral authority kuongea kuhusu Kenya kilaza.,

Serikali yenu imewashika hivi👇👇
FB_IMG_1721646688280.jpg

Kwa sasa nafsi zenu ziko hivi kiukweli👇👇, mmechoka, ufukara na kukandamizwa, hamna Uhuru ata wa kujieleza ama kupinga mabaya ya CCM.,
FB_IMG_1745850116545.jpg

Mmefinywa na hali duni ya maisha, pumzi inawaishia.,
FB_IMG_1730381676356.jpg

Matokeo yake ni haya kwa wingi👇👇
FB_IMG_1733217671623.jpg
 
Nenda ukakaririe hii riwaya kwa vilaza wa CCM, mnahitaji sana, large scale farming in Tanzania ni nadra sana, u can't level!, nyie ni subsistence farmers, mifukara tu., Kenya has the most skilled labour in East Africa, sio vijakazi kama nyie, mnakuja Kenya kwa wingi kutufanyia kazi za maids kwa nyumba zetu na kufyeka nyasi yaani shamba boys na wasio bahatika wanalazimika kukua omba omba mitaani, jiangalie, Wacha kutazama Kenya kwa lenses ya kiTanzania,., unadhani matatizo yetu ni yenu., mko hovyo bana🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hahaa ila sijawahi sikia watanzania wakilalamika kunyanyaswa popote duniani kama nyie mpaka mmaliwa nyuma Saudi Arabia . Actually wakenya mnatqmbulika duniani kwa kwenda kuwa watumwa Dubai na sio kwa skilled labourers. Tanzania mara nyingi wakitoka ni either mafundi na kadhalika huwez sikia watanzania wako said Arabia wanagongwa kama wakenya.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kenya sio taifa ya machawa na vilaza kama Tanzania., usitufananishe na upuzi wenu, we are a woke society in EAC, Tanzania mmeshikwa kende hamuna pumzi., you don't have moral authority kuongea kuhusu Kenya kilaza.,

Serikali yenu imewashika hivi👇👇
View attachment 3333281

Kwa sasa nafsi zenu ziko hivi kiukweli👇👇, mmechoka, ufukara na kukandamizwa, hamna Uhuru ata wa kujieleza ama kupinga mabaya ya CCM.,
View attachment 3333282
Mmefinywa na hali duni ya maisha, pumzi inawaishia.,
View attachment 3333284
Matokeo yake ni haya kwa wingi👇👇
View attachment 3333283
At least wamevaa kitu vipi niingie chimbo nilete Za Turkana? Nadhani unanifahamu vizuri battle ya kutokunya vichakani mmesalimu amri nilivyoingilia kati!

CC: nairobae
 
Kenya sio taifa ya machawa na vilaza kama Tanzania., usitufananishe na upuzi wenu, we are a woke society in EAC, Tanzania mmeshikwa kende hamuna pumzi., you don't have moral authority kuongea kuhusu Kenya kilaza.,

Serikali yenu imewashika hivi👇👇
View attachment 3333281

Kwa sasa nafsi zenu ziko hivi kiukweli👇👇, mmechoka, ufukara na kukandamizwa, hamna Uhuru ata wa kujieleza ama kupinga mabaya ya CCM.,
View attachment 3333282
Mmefinywa na hali duni ya maisha, pumzi inawaishia.,
View attachment 3333284
Matokeo yake ni haya kwa wingi👇👇
View attachment 3333283
Umepaniki , hiyo ni tabia ya mtu maskini anayeogopa kuambuwa ukweli ambayo ndo tabia ya wakenya😝😝😝😝😝
 
Did you mention water and sewer system ndani ya hizo nyumba?🤣🤣🤣🤣
Yani wewe mtu hujui hata sewer system inakaaje unatoa wapi nguvu ya kumention mambo sewerage system? Mibongolala wa Dar hutumia pit latrines
View attachment 3333153

And you also said proper roofs? Kwamba these are proper roofs? Hizi hapa?🤣🤣🤣View attachment 3333148View attachment 3333149View attachment 3333150View attachment 3333151View attachment 3333152

Just like most of you here, you have to find solace in Kibera everytime you are cornered. It's just 2.5 square kilometers, way too small to compare with your sprawling uswazi hovels that cover your entire cityscape
Hua unadeal na hawa bongolalas vilivyo. 👏👏🤣🤣🤣
 
Hahaa ila sijawahi sikia watanzania wakilalamika kunyanyaswa popote duniani kama nyie mpaka mmaliwa nyuma Saudi Arabia . Actually wakenya mnatqmbulika duniani kwa kwenda kuwa watumwa Dubai na sio kwa skilled labourers. Tanzania mara nyingi wakitoka ni either mafundi na kadhalika huwez sikia watanzania wako said Arabia wanagongwa kama wakenya.🤣🤣🤣🤣🤣
Kwa vile nyie ni wanyonge, hamna sauti, mnakufa kikondoo., numbers never lie, mko hovyo almost in all sectors of life on average, so fyata, Wacha kujiliwaza., makondoo!🤣🤣🤣
 
Umepaniki , hiyo ni tabia ya mtu maskini anayeogopa kuambuwa ukweli ambayo ndo tabia ya wakenya😝😝😝😝😝
Ukweli imekuuma, pole sio makosa yangu, mko mlivyo, haubadilishi lolote ata useme nini🤣, tunawaombea mtakombolewa sio mda marefu, usife moyo, pengine vitukuu vyako vitaona jua, nyie mmekomaa kwa giza🤣
 
Kenya sio taifa ya machawa na vilaza kama Tanzania., usitufananishe na upuzi wenu, we are a woke society in EAC, Tanzania mmeshikwa kende hamuna pumzi., you don't have moral authority kuongea kuhusu Kenya kilaza.,
KUna taifa bingwa la machawa kama Kenya. Mijaluo maisha yao yote imetumia kupambania maisha ya Raila Odinga hadi inamuita Baba.

Huo ni ujuha FIRST CLASS.

Serikali yenu imewashika hivi👇👇
View attachment 3333281
Kenya manishi kama burukenge. Hata hilo pumbu unatamani upike.

Kwa sasa nafsi zenu ziko hivi kiukweli👇👇, mmechoka, ufukara na kukandamizwa,
Tuna ufukara wa viwango vyetu. Kenya siyo fukara, ila ni HOHE HAE, mabo hata kilo ya unga wa Dona ni ANASA.
hamna Uhuru ata wa kujieleza ama kupinga mabaya ya CCM.,
View attachment 3333282
Mmefinywa na hali duni ya maisha, pumzi inawaishia.,
View attachment 3333284
KENYA mna uhuru gani wa kujieleza??

Kubweia bweia online kwasababu una njaa na huna altenative ndio uhuru wa kujieleza???
Matokeo yake ni haya kwa wingi👇👇
View attachment 3333283
Hapa huoni watoto walikuwa wanacheza kwenye vumbi.

Inaonekana hata hukucheza utotoni.

Yaani watoto wana viatu, uniform na sweaters unaita masikini??

Huko.kwenu mnaotembea bare feet mnaliwa na FUNZA, hohe hae, 200%
 
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

mbona hutaku ku prove au imewauma sana
Hakuna kitu ya kuprove hapo na Dar is a slum tunajua vile inakaa. Kama ingekua bongoslum tungejua tu, Kuna vitu huwezi danganya watu in this era. Eti Bugatti Chiron ikue bongoslum na ni mtu moja pekee tu ndio huiona. 🤣🤣🤣 Usiwe pumbavu.
 
Back
Top Bottom