Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

At least wamevaa kitu vipi niingie chimbo nilete Za Turkana? Nadhani unanifahamu vizuri battle ya kutokunya vichakani mmesalimu amri nilivyoingilia kati!

CC: nairobae
Na hiyo ndio average living in normal villages, Turkana ya nomads na primitive living, engraved in traditions can be explained, yenu ni vijiji vya kawaida, maisha ya kawaida.., poleni sana.,
 
Kwa vile nyie ni wanyonge, hamna sauti, mnakufa kikondoo., numbers never lie, mko hovyo almost in all sectors of life on average, so fyata, Wacha kujiliwaza., makondoo!🤣🤣🤣
Haha nani aende akafanye KAZI za uyaya Saudi Arabia ebu tafuta mtanzania yoyote aliyekwenda kufanya kazi za uyaya Dunia hii, ndo maana tunawashangaa eti waje Kenya😝😝🤣🤣
Nyinyi ni maskini na hilo halikwepeki we Karne hii bado mnasumbuliwa na jiggers kweli Ina maana viatu hamvai.

View: https://youtu.be/02ITlL4Aj4s?si=djT1ZcClSgmhuvJ0

Sasa kunguni SI ndo itakuwa balaa
 
KUna taifa bingwa la machawa kama Kenya. Mijaluo maisha yao yote imetumia kupambania maisha ya Raila Odinga hadi inamuita Baba.

Huo ni ujuha FIRST CLASS.

Tuna ufukara wa viwango vyetu. Kenya siyo fukara, ila ni HOHE HAE, mabo hata kilo ya unga wa Dona ni ANASA.

KENYA mna uhuru gani wa kujieleza??

Kubweia bweia online kwasababu una njaa na huna altenative ndio uhuru wa kujieleza???

Hapa huoni watoto walikuwa wanacheza kwenye vumbi.

Inaonekana hata hukucheza utotoni.

Yaani watoto wana viatu, uniform na sweaters unaita masikini??

Huko.kwenu mnaotembea bare feet mnaliwa na FUNZA, hohe hae, 200%

View: https://x.com/mabonga_254/status/1920025924398903761?s=46
 
KUna taifa bingwa la machawa kama Kenya. Mijaluo maisha yao yote imetumia kupambania maisha ya Raila Odinga hadi inamuita Baba.

Huo ni ujuha FIRST CLASS.

Tuna ufukara wa viwango vyetu. Kenya siyo fukara, ila ni HOHE HAE, mabo hata kilo ya unga wa Dona ni ANASA.

KENYA mna uhuru gani wa kujieleza??

Kubweia bweia online kwasababu una njaa na huna altenative ndio uhuru wa kujieleza???

Hapa huoni watoto walikuwa wanacheza kwenye vumbi.

Inaonekana hata hukucheza utotoni.

Yaani watoto wana viatu, uniform na sweaters unaita masikini??

Huko.kwenu mnaotembea bare feet mnaliwa na FUNZA, hohe hae, 200%
Unajitetea lakini hamna point🤣🤣🤣 haubadilishi ufala wenu, poleni, mtapona siku moja, usilie mwanangu, sio makosa yangu, have just pointed out a few issues, sijagusa ya ndani, nawajua kila sehemu.,
 
CCM kwa kiasi kikubwa wana sera na mikakati mizuri, tatizo ni nani ameshikilia mpini, na kama ameshikwa mikono na ma globalist.

Ukitaka kujuwa tuko vipi, angalia magazeti kama Reuters, Political, NYtimes, the Dailymail na hata magazeti ya Kenya (the mouthpiece of the globalists in EA, hello Teargass, NairobiWalker), yanasema nini kuhusu Tanzania. Ukiona yanaponda sana sera za maendeleo basi juwa tupo vizuri, ukiona wanatupotezea juwa tumeliwa.
Unajipa umuhimu sana kaka braza.
 
Haha nani aende akafanye KAZI za uyaya Saudi Arabia ebu tafuta mtanzania yoyote aliyekwenda kufanya kazi za uyaya Dunia hii, ndo maana tunawashangaa eti waje Kenya😝😝🤣🤣
Nyinyi ni maskini na hilo halikwepeki we Karne hii bado mnasumbuliwa na jiggers kweli Ina maana viatu hamvai.

View: https://youtu.be/02ITlL4Aj4s?si=djT1ZcClSgmhuvJ0

Sasa kunguni SI ndo itakuwa balaa

Makondoo nyie., utapona mwanangu., inauma najua, nimefungua kidonda, usifunike wacha ikauke ipone., stop running away from the truth, embrace it and correct., mtakwepa hadi lini?.., jiangalie!!🤣🤣🤣🤣🤣
 
Ukweli imekuuma, pole sio makosa yangu, mko mlivyo, haubadilishi lolote ata useme nini🤣, tunawaombea mtakombolewa sio mda marefu, usife moyo, pengine vitukuu vyako vitaona jua, nyie mmekomaa kwa giza🤣
Sisi hatuhitaji kukombolewa maana tayari tunajitambua na ndio maana unaona Kila mtu Yuko busy na KAZI zake na hii utaiona kwenye level za exports , wakati nyinyi mkiwa na 8bil usd sisi tuko 15usd bil. Almost mara mbili kasoro.
Ukija Tanzania hukuti kesi za funza popote hiyo tushatokana napo ila nyinyi bado mna mpaka national jiggers day.
🤣🤣🤣🤣
Tushaondokana na tribalism nyinyi ndo kwanza mko nayo
 
Did you mention water and sewer system ndani ya hizo nyumba?🤣🤣🤣🤣
Yani wewe mtu hujui hata sewer system inakaaje unatoa wapi nguvu ya kumention mambo sewerage system? Mibongolala wa Dar hutumia pit latrines
View attachment 3333153

And you also said proper roofs? Kwamba these are proper roofs? Hizi hapa?🤣🤣🤣View attachment 3333148View attachment 3333149View attachment 3333150View attachment 3333151View attachment 3333152

Just like most of you here, you have to find solace in Kibera everytime you are cornered. It's just 2.5 square kilometers, way too small to compare with your sprawling uswazi hovels that cover your entire cityscape
Hizi picha nilizipiga Mikocheni. Mtaa wao wa Kifahari. Hello instanbul msee wangu wa horizontal infrastructure.😂

PXL_20250502_125009638.jpg
PXL_20250502_124715727.jpg

Cc. gameover
 
As if bongoslum hakuna jiggers. Ushawai fika Kigoma? 🤣🤣
Hehe kigoma in a udongo mwekundu na hakuna infection kama zenu na huwez Kuta mtu Yuko infected kama kwenu mpaka miguu inapasuka, hiyo ilikuwepo miaka 20 nyuma ila nyinyi mpaka Leo hakuna.
Tena sababu kuu ya kigoma na tabora kuwa na jiggers ilikuwa ni wakimbizi
 
Sisi hatuhitaji kukombolewa maana tayari tunajitambua na ndio maana unaona Kila mtu Yuko busy na KAZI zake na hii utaiona kwenye level za exports , wakati nyinyi mkiwa na 8bil usd sisi tuko 15usd bil. Almost mara mbili kasoro.
Ukija Tanzania hukuti kesi za funza popote hiyo tushatokana napo ila nyinyi bado mna mpaka national jiggers day.
🤣🤣🤣🤣
Tushaondokana na tribalism nyinyi ndo kwanza mko nayo
Muulize wanajikomboa lini kwenye huu ujinga. 😂😂😂

View: https://youtu.be/ZGhacWFBudU?si=iuElbvT6aLC4XmfU
 
CCM kwa kiasi kikubwa wana sera na mikakati mizuri, tatizo ni nani ameshikilia mpini, na kama ameshikwa mikono na ma globalist.

Ukitaka kujuwa tuko vipi, angalia magazeti kama Reuters, Political, NYtimes, the Dailymail na hata magazeti ya Kenya (the mouthpiece of the globalists in EA, hello Teargass, NairobiWalker), yanasema nini kuhusu Tanzania. Ukiona yanaponda sana sera za maendeleo basi juwa tupo vizuri, ukiona wanatupotezea juwa tumeliwa.
This reasoning is so pedestrian for someone like you🤣🤣🤣., umeshuka level ya akina The best 007 na Sama boy 255 and the team 🤣🤣🤣🤣🤣, hizi ndio fikra zao, zero logic and critical thinking., man this is outright fallacy🤣🤣, eti wakiponda sera za maendeleo mko vizuri how? What areas have Tz critiques pointed out? Can u put forth an example of a news criticizing your devt? if such happens it's relative, it can mean different things, not necessarily eti mko vizuri, boss🤣🤣🤣🤣., I agree CCM has sera na mikakati mizuri, but mostly it's on paper.,
 
Hehe kigoma in a udongo mwekundu na hakuna infection kama zenu na huwez Kuta mtu Yuko infected kama kwenu mpaka miguu inapasuka, hiyo ilikuwepo miaka 20 nyuma ila nyinyi mpaka Leo hakuna.
Tena sababu kuu ya kigoma na tabora kuwa na jiggers ilikuwa ni wakimbizi
Just because you hide it haimasnishi hakuna. Nyinyi tunawajua Kwa kuficha umaskini na aibu.
 
Back
Top Bottom