Hamna jibu hadi wa leo, mitaa ya raiya wa kawaida sana, Tanzania upana huo utakua ndani ya uswazi.., Dodoma una post where fukara kama wewe huwezi kuishi🤣🤣🤣🤣., Bamburi pekee ni kubwa kushinda Dodoma yoote.., na iko njee kabisaa ya CBD., kiembeni nayo ni mbali sana., hizo mbili zimetosha kufunika Dodoma, eti mnaitaja kama city🤣🤣🤣, mtaa wa Bamburi ni kubwa ata zaidi ya Dodoma CBD, ama unabisha?🤣🤣🤣.., weka humu Dodoma CBD aerial views tulinganishe🤣🤣🤣🤣.,
View: https://youtu.be/HGgvGrswc2c?si=rDn08XP0aZR7rzJy