Umeona utofauti wa hiyo picha umeme kwanza .
Umeme umespread karibia Kila eneo la Tanzania maeneo ambayo haya umeme ni kama central Tanzania ambapo Kuna mbuga ya mikuni ambayo inaenda kukutana na mbuga ya selous the same kuanzia moro, Dom, to kigoma
Kenya umeme umeconcetrate maeneo ya southern tuu , kwa hiyo kusema accessibility ya umeme kwenu ni Bora wakati umeelekezwa eneo moja kuhusu maji bado hayajaweza tosha na majority wanategemea maji ya kusambaziwa sababu bado uhitaji ni mkubwa sana kulingana na population
Ishu ya vyoo walau Tanzania karibia Kila nyumba Ina choo hata kama ni shimo ila Kenya bado Kuna flying toilets .🤣🤣🤣🤣