Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

A very small percentage of Kenyans live in slums and yes, we have at some point demonstrated against unfair land ownership. Hapo kwenu hata wengi wenu hamna habari mmeibiwa. Mnaamini nchi yenu nyeupe kama pamba hamna corruption. Hata hamjiulizi mbona mna resources mara nne ya Kenya na bado kiuchumi mpo nyuma ya Kenya yet Wakenya wanalalamika kuhusu corruption wakati nyie mmeaminishwa politicians wenu weupe kama pamba. 90% ya mabango hapo kwenu ni kusifia wanasiasa. Mpo mpo tu. Badala ya kupiga yowe msafishe nchi yenu mnahangaika na Wakenya wanavyojaribu kusafisha nchi yao. Dar 70% ni slum ila mnaaminishwa hamna slum. Wachache wenu wenye Wana courage ya kukashifu ufisadi wanapotea with no trace. Nchi maskini imeaminishwa ni nchi ya milk and honey.🚮🚮🚮
Ni uchumi upi unaodai tupo nyuma ya kenya.? Au kuna uchumi unazunguka akili mwako.?
 
A very small percentage of Kenyans live in slums and yes, we have at some point demonstrated against unfair land ownership.
Uongoman activated.
Hapo kwenu hata wengi wenu hamna habari mmeibiwa. Mnaamini nchi yenu nyeupe kama pamba hamna corruption.
Hakuna MTz anayesema nchi yetu ni nyeupe.

Leta evidence.
Hata hamjiulizi mbona mna resources mara nne ya Kenya na bado kiuchumi mpo nyuma ya Kenya yet Wakenya wanalalamika kuhusu corruption wakati nyie mmeaminishwa politicians wenu weupe kama pamba.
Wakenya wengi mna upumbavu, huu eti hamna raslimali.
  • Mna bandari (siyo landlocked)
  • Mna Lake resources
  • Forests
  • Minerals
  • Land
  • Geothermal
  • Beaches
  • National parks etc

Acheni utapeli

A nation of cons
90% ya mabango hapo kwenu ni kusifia wanasiasa. Mpo mpo tu.
Isauw ya mabango hata sisi hatupendi, na wala hatujawaambia mtusaidie
Badala ya kupiga yowe msafishe nchi yenu mnahangaika na Wakenya wanavyojaribu kusafisha nchi yao. Dar 70% ni slum ila mnaaminishwa hamna slum. Wachache wenu wenye Wana courage ya kukashifu ufisadi wanapotea with no trace. Nchi maskini imeaminishwa ni nchi ya milk and honey.🚮🚮🚮
Unataka tuje
kupiga kelele , Kunya??
 
Uongoman activated.

Hakuna MTz anayesema nchi yetu ni nyeupe.

Leta evidence.

Wakenya wengi mna upumbavu, huu eti hamna raslimali.
  • Mna bandari (siyo landlocked)
  • Mna Lake resources
  • Forests
  • Minerals
  • Land
  • Geothermal
  • Beaches
  • National parks etc

Acheni utapeli

A nation of cons

Isauw ya mabango hata sisi hatupendi, na wala hatujawaambia mtusaidie

Unataka tuje
kupiga kelele , Kunya??
Kama kweli nchi yao Ina ukame hivi hela za kujenga highways kwanini zisitumike kupanda miti huko turkana na kutengeneza mifumo ya kumwagilia ili kuwapunguza watu waliopo mjini wakafanye kilimo na hela nyingi wakawekeza kwenye ulinzi
 
Kama kweli nchi yao Ina ukame hivi hela za kujenga highways kwanini zisitumike kupanda miti huko turkana na kutengeneza mifumo ya kumwagilia ili kuwapunguza watu waliopo mjini wakafanye kilimo na hela nyingi wakawekeza kwenye ulinzi
Huko Turkana kuna jangwa ndio, ila siyo kwamba halizalishi.

Wanalitumia kwa utalii.

Na inasemekana wamegundua mafuta huko.
 
Eti. Utawapata wanashare lane yenye pothole Kilimani ambayo after a few months ya Wakenya kupiga kelele itarekebishwa wakati Kuna Barabara kwa affluent estates zao hazijawaai ona lami. Sewage Kila mahali.
I remember there's a time we shared dusty roads in Masaki, their most affluent estate. Yani mtaa bora kuliko zote Tanzania kuna maeneo hayajaona lami 😂😂
 
Uongoman activated.
Okay
Hakuna MTz anayesema nchi yetu ni nyeupe.
Endelea kuweka kichwa mchangani.
Leta evidence.

Evidence Gani na Kila siku mnasema humu corruption ipo Kenya huko kwenu hamna?
Wakenya wengi mna upumbavu, huu eti hamna raslimali.
  • Mna bandari (siyo landlocked)
  • Mna Lake resources
  • Forests
  • Minerals
  • Land
  • Geothermal
  • Beaches
  • National parks etc

Acheni utapeli

A nation of cons

Sijasema hatuna rasilmali. Nimesema mna rasilmali mara nne zaidi yetu na hata nyinyi wenyewe huwa mnajipiga vifua kwa hilo. Sijui ni kutoelewa huelewi ama unabisha tu kushinda mjadala.
Isauw ya mabango hata sisi hatupendi, na wala hatujawaambia mtusaidie

You're simply proving my point. Mna shida ila hamna ujasiri Wala Uhuru wa kuiongelea. Ndio maana mkiona sisi tunaandamana ama tupo mitandaoni kulalamika mnaona mpoa vizuri kutushinda. Ndio maana mpo humu mnashara picha Moja Moja ya potholes Nairobi wakati mitaa yenu kama Mikocheni Kuna Barabara za vumbi na Wala hamziongelei Hadi mnaona nimepiga picha uswazini kisa wengi wenu hamna hata habari jinsi sehemu za Kifahari huko kwenu zilivyo. Kuna utofauti mkubwa sana Kati ya Kenya na Vumbistan.
Unataka tuje
kupiga kelele , Kunya??
Sitaki mje, nataka muendelee kulala usingizi mkijiita nchi ya maziwa na asali.
 
Back
Top Bottom