Nicxie
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 22,072
- 17,790
Hii Dar haina ubavu wa kushindana na Nairobi kwa lolote. Washaanza kusema hiyo ni picha imetengenezwa na imperialists to paint their country in bad light😂😂😂Yaani Mombasa iko na umeme zaidi ya Dar hehehe.., I keep on saying Mombasa ndio size ya Dar hapa Kenya wananuna wanaanza kutafuta slums wajiliwaze eti.,
View attachment 3333526
Mitanganyika hayakosangi excuses