Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Usafiri wenyewe ndiyo huu au kuna mwingine
1743581948789.jpg
1743581951711.jpg
1743581939939.jpg
1743581961531.jpg
Lazima iwaume.

Image
Image
 
Attachments

  • 1743581920821.jpg
    1743581920821.jpg
    395.8 KB · Views: 26
Ndio maana wakenya wengi ni mashoga kisa wazungu ni mashoga, watanzania hatufanyi sababu ya kufata jamii za wageni ni utamaduni wetu asili, kwenye kabila langu anaheshimika mtoto alietahiriwa kuliko bilionea govinda, yaani in short kuwa govi Tanzania ni scandal
I’m telling you my brother, angekua bongo labda angejiua mana kuwa na govi huku bongo ni scandal ya mtaa, ukipita watu wanakucheka. 🤣🤣🤣
 
Unacompare research paper ya campus na huu upuzi wa high school, enyewe nowonder wengi wenu hamfiki hata hio form 4 wacha hata University.
Skiliza acha kujipa umuhimu.

Kwa bongo hapa, mtoto anafanya research kidato cha tatu, kama vile research inavyotakiwa kuwa mnavyofanya huko kwenu at university level, binafsi nilifanya research yangu katika kiwanda kimoja pale Amboni Tanga Neelkhant Lime Ltd, hii inakua inafanywa na wanafunzi watano kwa kushirikiana. Procedures zote za research zinafatwa. NB:- KIDATO CHA 3.

Research ingine ni ile unayofanya 3rd year pale university semester ya mwisho, na huwezi graduate kama utafeli research. Ni mandatory.

Reaserch kwa elimu ya Bongo ni jambo la watoto wa Odinary level of education.
 
You're really talking of tea?😂😂
Which country drinks more tea than Kenya hapa Afrika?😂
Hapo Tanzania nikiitisha chai hotelini naambiwa imeisha Hadi Kuna siku nilimueleza waiter Bongo hamna culture ya kunywa chai. Hapa Kenya most visitors say we're addicted to tea. Yani after Kila mlo ni chai. Hapo bongo breakfast watu wengi hata hawanywi chai. Remember Kenya is the biggest producer of both tea and milk in Africa alafu hiyo ndio nchi unasema ni natajiri pekee wanaokunywa chai.😂😂
Wewe ni kichaa!

Nyie mnakunywa chai kavu bila vitafunio, tena chai bila hata sukari. Ukiona nchi watu wake wanagombania chapati chafu kwenye ndoo ya kuogea, tena kwenye kampeni za siasa jua hiyo nchi watu wake wana njaa kupita kiasi.

Binamuzenu kwenye njaa, Nogeria, juzi juzi walitoshia kuandamana wakapewa viplastiki vyamchele wakavigombania mpaka wengine wakafa na hakukua na maandamano.

Ni nchi tatu tu Africa zinaingia kwenye top 10 ya dunia linapokuja swala la wingi wa mifugo. In Africa, Tanzania ni ya pili baada ya Ethiopia. Sasa sijui unazungumzia maziwa gani, au hayo maziwa mnawakamua hata wakina mama wapika Gongo "Chang'aa".
www.mifugouvuvi.go.tz/uploads/publications/

1743585089900.png
 
Ila wakenya ni wangese sana sema amna ela za kununua ving’amuzi viwili For sure mmeonyesha ufukara wenu ulipo nyie si mnajifanya mpo na mapene hahhahaha kilio cha samaki.

News ni kuwa uku Bongo kila nyumba unakuta dish mbili na kuendelea sasa wenye ela na financial strength mmeshindwa.
View attachment 3289821
😁😂😁😁😁😁😂 poor kenyani
Waaaah , dunia ya sahii bado watu wanatumia hizi dish 🤣
 
Wewe ni kichaa!

Nyie mnakunywa chai kavu bila vitafunio, tena chai bila hata sukari. Ukiona nchi watu wake wanagombania chapati chafu kwenye ndoo ya kuogea, tena kwenye kampeni za siasa jua hiyo nchi watu wake wana njaa kupita kiasi.

Binamuzenu kwenye njaa, Nogeria, juzi juzi walitoshia kuandamana wakapewa viplastiki vyamchele wakavigombania mpaka wengine wakafa na hakukua na maandamano.

Ni nchi tatu tu Africa zinaingia kwenye top 10 ya dunia linapokuja swala la wingi wa mifugo. In Africa, Tanzania ni ya pili baada ya Ethiopia. Sasa sijui unazungumzia maziwa gani, au hayo maziwa mnawakamua hata wakina mama wapika Gongo "Chang'aa".
www.mifugouvuvi.go.tz/uploads/publications/

View attachment 3291061
Your comment is full of ignorance and shows a lack of education and low IQ. I'll let it rest.🚮🚮🚮
 
Back
Top Bottom