REAL Comrade Kipepe
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 3,602
- 11,528
Sio unadhani ni unatoa harufu mbaya kinyama! Huo ungaunga unakuwaga wet always. Ni primitive societies kama Kenya, South Africa, Zimbabawe ndio wenye maisha ya kilofa kuishi na mikia.Mkono wa sweta. 🤮🤮. Unakuwaga na unga unga flani, ujue ule mkono wa shati kimsingi una attract magonjwa, Nadhani utakua unatoaga harufu. There’s no way mtu anaeza usafisha vizuri. 🤣🤣