Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

I've gone through their page and haven't seen anywhere they talk about manufacturing Isuzu buses in Kenya. All I've seen is the main dealership under Wangombe.

Hongereni though, the Japanese have done almost everything, from the technology to skilled labour so I don't think you have anything to be proud of, could just be another assembly plant.
Ebu tuonyeshe hiyo page yao umeangalie tujue ni gani, maybe uliangalia page ya wauza mbuzi.

Master Fabricatea and built almost everything from that bus, Japan wametengeneza tu chassis and engine, everything else is built right here in Kenya.
 
Sasa niskilize nikuelekeze. Ukija Tz let say Tanga ukafanya sampling ya watu hata 100k, wote utakuta wametahiriwa 100%. Kwasababu kutokutahiriwa ni ushenzi kwenye jamii yetu. So probably hiyo research yako itakudanganya.

Mambo za research nimesoma kwenye geography form 3 sijui 4. Wacha kuona ni kitu kikubwa mpumbavu wewe. Kama vitu hizo umejifunza chuo basi elimu yenu ndio mbuvu. 🤣🤣🤣
Have you ever done any research in your life?
 
Mnataka pesa nyingi na hamtaki kununua visimbuzi vya azam hacheni ujinga
Pesa nyingi ligi yenyewe iko wapi bhn, Azam anapata hasara na wakimletea upuuzi atawapiga chini waendelee na broadcasting zao za camera moja, unaangalia kwenye TV lkn kama upo live mwanangu....
 
Wewe ni mpunga na nitapigizana kelele na wewe. Yote haya ni kwasababu una govi. Nenda ukatiwe twahara jahil wewe l
Matusi tu ndio umejaza kwa hio kichwa yako, a proper sign of kukosa elimu because you can't argue your points like a literate.
 
Hii data si umeandika wewe. 🤣🤣🤣 ungekua umetajiriwa usingetetea huu ujinga wewe na mwenzako.. probably huenda hata ni 80% you Kenyans hamjatahiriwa.
Please enlighten us what’s the big deal about circumcision . Keep it bs free … am waiting….
 
Hata hio dish ya Azam sijawai kuona hata moja. I wonder who watches that thing ju hata kwa bar haziko.
Sasa mbn hamueleweki mara mnaanzisha kampeni ya kuiondoa Azam mara Azam haipo yn mnaumia kuona Tanzania inatawala Kenya, huku kiwanda cha cement tumekuchukua, huku gesi mara kule Azam, hadi raha mnavyoweweseka 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
huku kiwanda cha cement tumekuchukua
“Huku Kiwanda cha Cement tumechukua ”. Ebu tuambie umechukua wewe na nani watchman? Umechukua wewe na nani?

IMG_1270.jpeg
 
Yes, I am and so what?
Haya pole.. 🤣🤣 ila nakupa tu ushauri wa bure , you better be circumcised.. you still have time, huko Nairobi kuna baridi itakuchukuchukua mwezi mmoja tu kupona. Wala usione aibu ndugu yangu katika bwana.

Na mtoto wetu pia usimrithishe hizo mila, itampa tabu sana ukubwani ikitokea atafanikiwa kusafiri na kuishi nchi zingine.
 
Haya pole.. 🤣🤣 ila nakupa tu ushauri wa bure , you better be circumcised.. you still have time, huko Nairobi kuna baridi itakuchukuchukua mwezi mmoja tu kupona. Wala usione aibu ndugu yangu katika bwana.

Na mtoto wetu pia usimrithishe hizo mila, itampa tabu sana ukubwani ikitokea atafanikiwa kusafiri na kuishi nchi zingine.
Imagine kaenda kukojoa alafu matone ya mikojo yanabaki kwenye mkono wa sweta alafu huyo unakula naye, mm siwezi, yale maunga unga meupe akilibenjua 🤮🤮🤮🤮
 
Back
Top Bottom