Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Na unaona hicho ni kitu Cha kujisifia? Huo ni ushamba. Nchi nyingi mnazotegemea msaada hazitairi. Hiyo simu unayotumia imeundwa na watu ambao hawajatahiri. Technology zote mnazitumia zimeyengenezwa na watu ambao hawajatahiri alafu mko hapa mnajipiga kifua juu ya kutairi. Eti mnabully watoto Hadi wanacommit suicide na mnaona hiyo ni sifa? Wacheni ushamba.
Ndio maana wakenya wengi ni mashoga kisa wazungu ni mashoga, watanzania hatufanyi sababu ya kufata jamii za wageni ni utamaduni wetu asili, kwenye kabila langu anaheshimika mtoto alietahiriwa kuliko bilionea govinda, yaani in short kuwa govi Tanzania ni scandal
 
Shoga ni yule anayesumbuliwa na jinsi mjulubeng wa mwanaume mwenzake unavyokaa. Mambo ya sehemu nyeti za wanaume achie wanawake wadiscus.

Sisi hatufanyi kwa sababu wazungu wanafanya ndio maana sijakwambia usifanye. Nyie ndio mnaofanya kwa sababu mzungu anafanya. The point is, Kuna kabila ambazonkutahiri ni tamaduni zao na kunazo ambazo kutahiri sii tamaduni zao. Sasa nyinyi maVumbistan mnajaribu kuforce kabila ambazo kutahiri sii tamaduni zao kisa mmesoma kwa Biblia ya Mzungu ama Quran ya Mwarabu. Alafu umesema vizuri unajivunia kutahiri kwa sababu ni tamaduni ya kabila YAKO then unaendelea kumbeza mwengine ambaye sio utamaduni wake. Ndio maana nikakwambia Kunao ambao hawajatahiri na wameendelea kumshinda ndio uone hilo jambo la kusema eti kutotahiri ni ujinga ni la kijinga sana. Dunia nzima waliotahiri ni wachache kulio wasiotahiri. Wacha watu waishi wanavyotaka.
 
The 1,169 passengers and crew arrived aboard the MV Crystal Symphony from Mahe, Seychelles, and will be departing today (jana) for the vibrant Indian Ocean island of Zanzibar. 😂😂😂
IMG_2999.jpeg
 
I think the main point was there is no Embassy serving Kenya from Dar but there are Embassies serving Tanzania from Nairobi and that makes Nairobi diplomatically more important and recognized. Got it?
But Dar has many embassies serving other countries aside Kenya, that makes TZ a more diplomatic country than most EA countries and therefore an upcoming powerhouse in Eastern part of Africa. It's just a matter of when and not if, before TZ becomes EA's economic, social and political hub.
 
Shoga ni yule anayesumbuliwa na jinsi mjulubeng wa mwanaume mwenzake unavyokaa. Mambo ya sehemu nyeti za wanaume achie wanawake wadiscus.

Sisi hatufanyi kwa sababu wazungu wanafanya ndio maana sijakwambia usifanye. Nyie ndio mnaofanya kwa sababu mzungu anafanya. The point is, Kuna kabila ambazonkutahiri ni tamaduni zao na kunazo ambazo kutahiri sii tamaduni zao. Sasa nyinyi maVumbistan mnajaribu kuforce kabila ambazo kutahiri sii tamaduni zao kisa mmesoma kwa Biblia ya Mzungu ama Quran ya Mwarabu. Alafu umesema vizuri unajivunia kutahiri kwa sababu ni tamaduni ya kabila YAKO then unaendelea kumbeza mwengine ambaye sio utamaduni wake. Ndio maana nikakwambia Kunao ambao hawajatahiri na wameendelea kumshinda ndio uone hilo jambo la kusema eti kutotahiri ni ujinga ni la kijinga sana. Dunia nzima waliotahiri ni wachache kulio wasiotahiri. Wacha watu waishi wanavyotaka.
Wewe ni govinda tu unanuka na ninyi ndio transmitters and incubators wa gono na UKIMWI kuna chances zaidi 50 percent ya alietahiriwa kutopata UKIMWI kuliko govinda, scientifically proven
 
I’m a proud one, now tell us, have you ever done any research in your entire life? Do you know what a sample is and it’s importance in a research?
Unaongelea research as a big deal wakati Tanzania ni kitu mtoto wa form 3 wanafanya, hii paper ya olevel lakini najua hata professors wenu watazungusha, elimu ya Tanzania sio mlenda kama yenu

Screenshot_20250402-103917.jpg
Screenshot_20250402-103937.jpg
Screenshot_20250402-103957.jpg
 
Back
Top Bottom