ichoboy01
JF-Expert Member
- Mar 6, 2017
- 82,204
- 163,861
Mtu pekee angeweza kutekeleza hili ni jpm labda atokee mwingine mbele huko.
Haya mambo ya kuwapa wabongo vimradi vya bilioni 10 sijui 20 hatutaweza kufika popote
View: https://vm.tiktok.com/ZMBuL8sP7/
issue sio kuwapa wabongo mradi issue ni nani anawasimamia na kuwafatilia hapo
ndipo kwenye shida kubwa sana
machawa ninwengi kuliko watendaji😂😂