Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Leo nilikuwa bar fulani kuna channel waliweka ilikuwa inaonesha derby yao, aisee nilikaa kimya nikawa nasikiliza comment za wadau, ofcz wengi walikuwa hawajui timu zinazocheza, mm nikawa nawaambia hizo ndiyo Simba na Yanga za Kenya, wengi wakawa wanasema mbona wanacheza kwenye kiwanja kidogo namna hii? Nikawaambia huo ndiyo uwanja wao mkubwa huko Kenya, wengi walishangaa sn na wakauliza mbona uwanja mbaya hivi? Alafu mbona timu zao zina jezi mbaya? Nikawaambia hiyo ya kijani inaitwa Gor mahia, jezi zao zimebuniwa na anayebuni jezi za Yanga, wengi wakaniambia ni jezi mbaya, nikawa sina jibu 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
90min shot on target 1
 
I don’t need your suits , got enough but you need shoes and that’s a fact ( swallow your Bongo pride).
View attachment 3288760View attachment 3288762View attachment 3288763
downloadfile-146.png

Kubwa jinga mzee wa over size,anza kujinunulia mwenyewe suit,ukajiachia sura humu ulivyo hauna akili then now unaiba picha za watu unajifanya ni ww!mzee wa kuwa na wajukuu unakua na akili za kifala
 
A better version of CCM kirumba . Naamini Kirumba ikiwekewa seats na kufanyiwa rennovation inaweza kuwa kubwa kuliko Nyayo stadium. Anyways Hongereni kwa kujaza 30k seats . Tz derby huwa ni over 60k plus
Ali hassan mwinyi nadhani ukifanyiwa rennovation ya maana inaweza kuwa na seats hadi elfu 80,ule uwanja ni mkubwa sana
 
Weep harder. This is pure football atmosphere ambayo huwezi kuipata huko bongoslum.

View: https://x.com/OfficialGMFC/status/1906628347636895846

You are seeing this the first time I see,
By the way, next week Simba has a Caf Confederation Cup Quarter finals game at Ben Mkapa Stadium against Al-Masry from Cairo,
massive campaigns ni wiki nzima prior to the game, just follow Simba pages and see how Big teams handle this .
 
Eti for the first time, ndio maana nimekuambia weep harder. Kenya has been a football powerhouse from way back when bongoslum had nothing. Sahii tumeanza kurudi after the break na mumeanza wasi wasi. 😀
 
View attachment 3288790
Kubwa jinga mzee wa over size,anza kujinunulia mwenyewe suit,ukajiachia sura humu ulivyo hauna akili then now unaiba picha za watu unajifanya ni ww!mzee wa kuwa na wajukuu unakua na akili za kifala
So you believe that’s not me in those photos… kwani ulikula nini Eid feast?..🤣…. I know deep down your soul you are really craving for my help ( new Js) but you are suffering from a case of TI ( Tandale Ignorance), so suit yourself my friend. You got 3 more days or the offer is off the table…Meanwhile…..
IMG_6323.jpeg
 
View attachment 3288813
I'm in bern switzerland,so kubwa jinga u believe I couldn't buy a shoes au sina pairs zingine za viatu,mshamba jinunulie suit ya size yako kwanza
downloadfile-146.png
Screenshot_20250326_224932_Photos.jpg
 
Eti for the first time, ndio maana nimekuambia weep harder. Kenya has been a football powerhouse from way back when bongoslum had nothing. Sahii tumeanza kurudi after the break na mumeanza wasi wasi. 😀
The thing is you are so delusional, Unadhani you will just be on top by overnight,?
The things you see Tz reaping fruits today ni uwekezaji tumefanya over decades,
Today we have
The Top League in the Region, 5th over the continent
Top Women League
Top U17 league, I know you don't have such
Qualified for whatever continental tournament for the National team, be it AFCON, WAFCOM, U17, U20 etc
It's a process kaka, not a walk in a park.
Now we have hundreds of academies to nurture talents.
Hata ukiangalia hiyo yenu mnaita derby you see the quality is so poor, angalia Kariakoo Derby au Hata Mzizima Derby, the quality is up to the top standards. Serikali imeweka hela, timu zimeweka hela, media imeweka hela, sponsors wameweka mzigo.
 
Back
Top Bottom