babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 13,302
- 35,725
Huyo kwao ni migori anyamaze.Azam kawapa hela na vilabu vimepata pesa ndio maana mpira unaanza kuchezwa vizuri
View: https://x.com/momanyielijah01/status/1839578319970308285?s=46
Huyo kwao ni migori anyamaze.Azam kawapa hela na vilabu vimepata pesa ndio maana mpira unaanza kuchezwa vizuri
Yaani mko karne ya zamani sana, nani ananunua dish huu wakati!! hii ni ya mafukara wa vijijini, in Kenya almost every appartment and houses have internet connection, TV siku hizi ni smart, una download App ya DSTV, uko na Netflix, Youtube, n.k sio kung'ang'ana na ma wire juu ya roof na scrape metal eti dish, ushamba itauwa Watanzania walai😳😳, tunaongoza mnafata.., mishamba Pro Max!😀😀😀😀Ila wakenya ni wangese sana sema amna ela za kununua ving’amuzi viwili For sure mmeonyesha ufukara wenu ulipo nyie si mnajifanya mpo na mapene hahhahaha kilio cha samaki.
News ni kuwa uku Bongo kila nyumba unakuta dish mbili na kuendelea sasa wenye ela na financial strength mmeshindwa.
View attachment 3289821
😁😂😁😁😁😁😂 poor kenyani
Kwani nani alikuambia wa Dodoma hauwezi kutanuliwa?Capacity hii ndio ilipaswa kuwekwa DOM, siasa nyingi.
Eti watu hawatoshi, so Serikali ikihamia iwe Lazima kuishi Dodoma itakuawaje maana watu wataongezeka.
Plus kuna Vyuo.vingi vijana sio poa.
I believe itafika muda tuanze tena kupigia kelele mbona ndogo.
We ni tako kwel umeona post yangu ndio umejibu baada ya kukaa karne kimya 😁😂😁😁Yaani mko karne ya zamani sana, nani ananunua dish huu wakati!! hii ni ya mafukara wa vijijini, in Kenya almost every appartment and houses have internet connection, TV siku hizi ni smart, una download App ya DSTV, uko na Netflix, Youtube, n.k sio kung'ang'ana na ma wire juu ya roof na scrape metal eti dish, ushamba itauwa Watanzania walai😳😳, tunaongoza mnafata.., mishamba Pro Max!😀😀😀😀
Unadhani ulivyovitaja uku avipo acha ushamba ni suala la options tu sioni tofauti.Yaani mko karne ya zamani sana, nani ananunua dish huu wakati!! hii ni ya mafukara wa vijijini, in Kenya almost every appartment and houses have internet connection, TV siku hizi ni smart, una download App ya DSTV, uko na Netflix, Youtube, n.k sio kung'ang'ana na ma wire juu ya roof na scrape metal eti dish, ushamba itauwa Watanzania walai😳😳, tunaongoza mnafata.., mishamba Pro Max!😀😀😀😀
Wacha ujinga sponsorship ya Azam inayotokana na broadcasting rights ndiyo imechangamsha league yenyu ya kifalamanga! Ati FKF?Superstore ndio nini?
Alafu pesa ni za Mwarabu, ama you have a stake at Azam? Again for your information, Azam didn’t re-energize Kenyan league, the league has become lively because of the new KFK leadership. Yule wa kitambo alikuwa bure sana, jamaa angekuwa hadi saa hii hata hile game ya Kenya Vs Gabone haingechezwa nyayo. Jamaa angeipeleka hata Burkina Faso hili apate Risk, commute allowance and unimaginable allowances, yule jamaa alikuwa mkora.
Itabidi muizoee tu hakuna jinsi, hiyo Azam yenyewe ni kama inawasaidia tu, supersport haiwezi kuonesha uchafu.Na hio Supersport ndio tunataka irudi, Azam ililetwa na the corrupt Nick Mwendwa has very boring commentators with a very low audience reach.
Kwasasa vumilieni tu hakuna jinsi, Azam ndiyo main broadcaster wa ligi yenu dhaifu, hata jezi za timu yenu kubwa zinadizainiwa na mtanzania, vumilieni tu.If Azam was that popular among kenyans as you purport, haungekuwa unaona haya malalamishi. Mimi hata decoder ya Azam sijui inakaaje
Wewe ni kichaaa, kwahiyo broadcaster anatoa mawe? Timu zenu kubwa zilikuwa haziwezi hata kulipia hotel, wachezaji walikuwa wanalala airport, leo Azam kaweka pesa angalau kdg mambo yanaenda ila nakuhakikishia Azam ataondoka hapo mana ni kama anakula hasara tu kwa ufadhili wake hapo kwenye ligi yenu dhaifu.How does broadcasting rights improve a league's standard?
Enyewe wakenya wamekataa hio AZAM. 🤣 🤣 🤣 It's hard selling Tanzania products in Kenya. Endeleeni tu kuuza bidhaa za shamba which are not branded.
View: https://x.com/EmmanuelOdiemb1/status/1906629798169907583
Lishamba limejianika, uliandika ukweli ndio mlivyo watu bado mko kwa dish na dunia imesonga mbele😀😀😀😀😀Unadhani ulivyovitaja uku avipo acha ushamba ni suala la options tu sioni tofauti.
Fool 😁😂😁
Wengi mko nyuma, uko wakenya wengi wanahama alafu lipumbavu linanunua dish mbili katishe vilaza wenzako kule vijiweni,😀😀😀😀😀😀😀😀 mnatia aibu.,Unadhani ulivyovitaja uku avipo acha ushamba ni suala la options tu sioni tofauti.
Fool 😁😂😁
Mara pah Azam kanunua Dstv Kenya!Cha ajabu comments za wanaotumia na kutaka kununua Azam Tv ni nyingi kuliko za hao wajinga wasio fanyiwa tohara. 😂😂😂
View attachment 3289499
Hivi umegundua wengi wanaoponda Azam ni wale majina yanayoanzia O!Deny
Negotiate
Accept.
Nionyeshe izo digital bas 😁😂Lishamba limejianika, uliandika ukweli ndio mlivyo watu bado mko kwa dish na dunia imesonga mbele😀😀😀😀😀
Naona investment ya mtanzania inavyowauma.Wengi mko nyuma, uko wakenya wengi wanahama alafu lipumbavu linanunua dish mbili katishe vilaza wenzako kule vijiweni,😀😀😀😀😀😀😀😀 mnatia aibu.,
Uoni aibu kuandika KiswahiliLishamba limejianika, uliandika ukweli ndio mlivyo watu bado mko kwa dish na dunia imesonga mbele😀😀😀😀😀
Mind u DSTV buys broadcasting rights from another broadcaster there beIN sports that pays to English Premier League that pays teams! Therefore technical yes!Bongolala, does DSTV give money to the English Premier League simply because it airs the EPL? Azam does not sponsor Kenyan premier league neither does it sponsor any team in that league. It only won 100% broaasting rights. Learn how league sponsorships work