Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nchi yetu ina ujinga mwingi sana. Sijui ni nani analipia hayo mabango na yanaingiza hela ngapi kwa nchi. Huu ndio uchawa na kuna watu humu ndio kazi yao.
Hayo ni mambo ya chama yatakuwa yanalipiwa na chama japo bado ni ujinga
 
Fukuza mbwa wote waende kwao, kama nchi zao wameziharibu kwa tamaa wakafie kibera huko maanina, kazi hayafanyi yanategemea remittance toka kwa ndugu wanaoishi illegally ndani ya nchi za watu.
Bongolala uko na hasira sana 😂😂😂
 
Wakati sisi tunaendelea na kilimo. Wakenya wanaendelea na kumchamba Ruto kwente mitandao.

𝗦𝗲𝗿𝗶𝗸𝗮𝗹𝗶 𝗶𝗺𝗲𝘇𝗮𝗹𝗶𝘀𝗵𝗮 𝗷𝘂𝗺𝗹𝗮 𝘆𝗮 𝗺𝗯𝗲𝗴𝘂 𝘇𝗮 𝗻𝗴𝗮𝗻𝗼 𝘁𝗮𝗻𝗶 𝟭,𝟲𝟭𝟵 𝗻𝗮 𝗸𝘂𝘀𝗮𝗺𝗯𝗮𝘇𝗮 𝗸𝘄𝗮 𝘄𝗮𝗸𝘂𝗹𝗶𝗺𝗮 𝘇𝗮𝗶𝗱𝗶 𝘆𝗮 𝟭,𝟲𝟬𝟬 𝗸𝘂𝗽𝗶𝘁𝗶𝗮 𝗺𝗽𝗮𝗻𝗴𝗼 𝘄𝗮 𝗿𝘂𝘇𝘂𝗸𝘂.

☑️𝗡𝗷𝗼𝗺𝗯𝗲
☑️𝗥𝘂𝗸𝘄𝗮
☑️𝗠𝗯𝗲𝘆𝗮
☑️𝗠𝗮𝗻𝘆𝗮𝗿𝗮
☑️𝗔𝗿𝘂𝘀𝗵𝗮
☑️𝗞𝗶𝗹𝗶𝗺𝗮𝗻𝗷𝗮𝗿𝗼

1738139275622.png
 
Back
Top Bottom