Naona uzi wa COST COMPARISON umekutokea puani mjomba 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Google Africa HQ
![]()
![]()
![]()
![]()
Wanakuambia anapewa support na mabepari, yn kajamaa kanaifanya EA vile kanataka, bila kupigwa hakataachia jimbo cz ndiyo jimbo linalompa jeuri ya kulisha mpaka jeshi linalomlinda, kukosa mali za Congo kagame na Rwanda yake wanabaki na milima tu.Nashindwa kuelewa kwanini na ni kwasababu zipi huyu mpuuzi asikamatwe au kuvamiwa hako kanchi kao maskini.? For what I know kwa hako kanchi na uchumi wao hawawezi ku sustain hata vita ya mwezi mmoja hawa kama tutaamua kuwavamia huko kwao. Hizi habari za kuoneana haya zitatufikisha pabaya sana.
Tukiamua kukavamia hako hizo silaha katatoa wapi.? Hao wazungu watakakuta kamechakaaa majivu.Wanakuambia anapewa support na mabepari, yn kajamaa kanaifanya EA vile kanataka, bila kupigwa hakataachia jimbo cz ndiyo jimbo linalompa jeuri ya kulisha mpaka jeshi linalomlinda, kukosa mali za Congo kagame na Rwanda yake wanabaki na milima tu.
The haiti kids are now having authentic swahili language exposure courtesy of the Kenyan soldiers. Interesting
View: https://youtu.be/eCzLg8kBN7M?si=MxVmR0mzIABPLeHJ
Very Petty things to deal with as a matured country, huku hampoMwisho
![]()
😂😂😂😂😂😂 anaulizwa ana njaa anasema hapa nimeshiba wakat anakaribia kufa kwa njaaa
View: https://x.com/kenyans/status/1884113394791506373?s=46