Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Ngong’ Road

1738003063120.jpeg
 
Watu wakiongea vitu vya kitaaluma kaa kando Watchman. Ukubwa wa Nchi unahusika vipi na wewe kupigwa mpini na mume wako, kwahivyo kabla hujapigwa mpini kwanza unaangalia ukubwa wa Tanzakundu 😀???
Siongei na mishoga mm, wewe unatoka Mombasa, huo mji na wana Dar es salaam ni chui na paka, tunawachukulia nyie wote ni maandazi.
 
Nyerere aliwahi kuelezea huo mgogoro na chanzo chake, 👇🏾
View: https://youtu.be/fu83XspMZA4?si=XJ6P9t0jiXGXarPB.

My take: sioni sababu za kupeleka majeshi yetu eti ili kulinda amani huko, vinginevyo tuamue kuwazingua wazi Rwandese au westerns, that’s the true salivation for this matter.

Hawa jeiwii waache ufala wa kijamaa, waende Congo kwa lengo la kupiga pesa, waachane na mambo ya ukombozi, tunaongea kila siku lkn hawasikii, Magufuli alikuwa mbepari akija kwako kukusaidia ujue kuna kitu unampa, twende na huo mpango, kama tunaenda Congo kuwaondoa M23 lkn wajue kwamba fidia yake watailipa, siku hz hakuna cha bure, sifa za kijinga tunawaachia Wakenya, wanaenda Haiti alafu pesa inalipa GOK.
 
Hujui kinachoendelea JW wanaenda kule kwa ajili ya interests za TZ! Kama Kagame ata-annex eastern DRC basi hata SGR haitafika Kindu!
 
Hujui kinachoendelea JW wanaenda kule kwa ajili ya interests za TZ! Kama Kagame ata-annex eastern DRC basi hata SGR haitafika Kindu!
Huu ndiyo ujinga unaonishangaza sn, kama tushajua tatizo ni kagame, kwnn asipigwe? Yn East Africa nzima inashindwa kupiga kanchi kadogo kama Rwanda? Jeshi lao lote halifiki hata robo ya JW alafu tunajiita Godfather of EA? Tunapaswa kuipiga Rwanda, hakuna haja ya kupambana na wahuni wa M23 wkt ukweli ni kwamba hao ni askari wa Rwanda. Haka kanchi ni parasite, hakana rasilimali lkn kanategemea Mali za nchi nyingine, tukapige alafu tukatoe EAC ili kaendelee kuwa ombaomba kama Kenya.
 
Back
Top Bottom