Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

🤣🤣🤣🤣 wakenya wamezajaza comments kwenye hii post wanapinga, sasa majibu Liza vita ni vya Congo, Hawa congo no jirani zetu.. sasa mbona wakenya wanaumia sisi tukiliingilia Kati hili suala.? 🤣🤣🤣
Waliofukuzwa DRC na ndio maana wamechomewa balozi Yao Kwa uchwara wa Mabeberu 😁😁

View: https://x.com/citizentvkenya/status/1884247537365786924?t=gcT6rznVpl2ECneAMDkPvQ&s=19

By the way Kiongozi waakindi ya Wanangambo wanaoongozwa na M23 aliunda umoja wa kumponga Rais wa Congo Wakiwa Nairobi mwaka Jana .
 
hii ndio shida yetu watanzania sijui kwann hatupendi kukubaliana na ukweli, ni kweli kilichoongelewa, kwan unafkiri mpinzani wako ww yote atakayaongea ni ya uongo its not true kuna amabayo ataongea ni ya ukweli pia, so u have to admit it, na wakat mqwngine mpinzani wako anaeza kua anamsaada kwako kwa kukuambia madhaifu yako na ukawa imara zaidi, so sometimes tuwe wazalendo wa ku admit na ukweli pia.
Wengi tunafikri uzalendo ni kusifu kupongeza na kumpamba kiongozi, so sad!
sio kila atachoongea mpinzani ni propaganda bro hawa wapinzani wakat mwengine tunawahitaj sana kwa ajili ya kufichua madudu, siku zote kwenye maisha mpinzani ndio anakupa chachu ya kufanya makubwa zaidi kwasababu atatafuta madhaifu yako ambayo huenda ww ulikua huyajui vzr

hili la mabango its true, inatumika pesa nyingi sana kushawahishi watanzania kama kazi inafanyika na maendeleo watu wanaona mabango ya nn bro, kwann pesa inapotezwa kizembe and yet kazi inaonekana, kwann pesa itumike tena kuwaaminisha watu yet nchi inasonga mbele, tusiwe watu wakushangilia kila kitu na kubeza kila kitu

mm bro kwenye ukweli ntakwambia huu ni ukweli na kwenye uongo i will tell u the same, hua niko very straight.
Pro.Lumumba anasema ukiona mtu anatumia mda mrefu kueleza alichofanya huwa hajafanya kitu kwa kuwa kitu kilicho fanyika huwa kinajieleza chenyewe!
 

Screenshot_2025-01-29-12-53-03-65_0b2fce7a16bf2b728d6ffa28c8d60efb.jpg
 
Yes he is a credible journalist, meanwhile remind me who are you?
Wait and see if anything happens to our soldiers M23 will be a dead organisation walking.
JWTZ will just crossover with mandate for war to eliminate that shit called M23. They know it very well and they cant do such a mistake.
 
Back
Top Bottom