Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Battle: Dar es Salaam vs Nairobi

Nionacho hapo ni boksi linalo waka taa. Why waliwashe taa muda huu wakati ujenzi bado sana?
Simple truth is: hii project ni magumashi ndio maana hayo mataa yanawashwa wakati hata viti hawajamaliza kuweka, pitch bado ili kuwarubuni akili nyie wajinga 🚮

This whole thing kwa kiswahili cha mtaa tunasema: "mnauziwa mbuzi kwenye gunia".
Insha refu ni ya nini? Mshasema kule juu kwamba ni AI
we all know its AI
Si muwache tu ibaki AI 🤣
 
This photo makes me laugh so hard everytime I see it 😂😂
you mean this 🤣

1776152076107.png
 
Two of your Presidents agreed that Nairobi is like London to Tanzanians.
You might even be suprised but at one time kuna sehem nlipita ndan ya KIBERA na kuna sehem ina jina la LONDON BRIDGE, i think ni kwa uku mwanzo ivi kuna sehem nlionyeshwa panaitwa kabisa LONDON BRIDGE
 
Back
Top Bottom